Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hahaha Baburaaa naon kiongozi umemind kweli swala la B20''BABURA" AONDOKE TUMEMCHOKA NA MUDI TUONESHE HIZO BILIONI 20 UMEWEKA KWENYE AKAUNTI GANI
B20 ukiulizia hili swali unaonekana mchawiHahaha Baburaaa naon kiongozi umemind kweli swala la B20
Kweli kabisa mkuuB20 ukiulizia hili swali unaonekana mchawi
Mabadiliko makubwa yapi kwa mfanoKlabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
Taja mabadiliko hayo hapa kwenye jukwaa ili usiwe wale wazee wa lawama huku hawajui solution ni niniKlabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
Yaani msimu mmoja tu mnaona kila Mtu mbaya?Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
GSM naye atuoneshe mapato ya jezi zetu yanaenda wapi''BABURA" AONDOKE TUMEMCHOKA NA MUDI TUONESHE HIZO BILIONI 20 UMEWEKA KWENYE AKAUNTI GANI
GSM naye atuoneshe mapato ya jezi zetu yanaenda wapi
Kuna dalili mbaya nyingi zinaonekana.Yaani msimu mmoja tu mnaona kila Mtu mbaya?
Mwisho wa siku tunakuuliza weweKuna dalili mbaya nyingi zinaonekana.
Kwanza viongozi wamekuwa waongo waongo sana.
Walitudanganya Simba ikimtaka mchezaji yeyote,itampata.
Walitundanganya wachezaji hawajafanya vuzuri kwa sababu wamezoea ubingwa
Walitudanganya Morrison ameenda kushughulikia mambo ya familia yake
Walitudanganya Chama ana majeruhi
Walitudanganya Simba imewekewa Bilioni 20
Walitudanganya Simba ina hela haihitaji udhamini wa Azam wa 40B
Na sasa wanatudanganya wanasajili kimya kimya ili waje watufanyie supprize ya timu mbovu.
Watatudanganya timu inajipanga kwa ajili ya miaka ijayo
''BABURA" AONDOKE TUMEMCHOKA NA MUDI TUONESHE HIZO BILIONI 20 UMEWEKA KWENYE AKAUNTI GANI
Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
Hii billion 20 inafanyia nini?
Wanashindwa nn kutoa hapo billion 2 watafute kocha world class.
Billion 8 wafanyie usajili wa kufuru. Alafu hiyo billion 5 itumike kulipa mishahara na mbwembwe zingine..then hiyo 5 ingine ibaki hapo bank kulinda account
Wewe ndiye GSM?Mapato ya Jezi si ndio yananunua wachezaji na kulipa mishahara.
At least matumizi yake yanajulikana.
Sasa ile BILION 20 inasemekana bado ipo na haijaguswa wala nini.
Ipo kwenye benk ambayo haijulikani..[emoji23][emoji23]