Kuna haja Simba kufanya mageuzi makubwa

Kuna haja Simba kufanya mageuzi makubwa

Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
7,718
Reaction score
5,899
Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
 
Mabadiliko makubwa yapi kwa mfano
 
Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
Taja mabadiliko hayo hapa kwenye jukwaa ili usiwe wale wazee wa lawama huku hawajui solution ni nini
 
Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
Yaani msimu mmoja tu mnaona kila Mtu mbaya?
 
GSM naye atuoneshe mapato ya jezi zetu yanaenda wapi

Mapato ya Jezi si ndio yananunua wachezaji na kulipa mishahara.

At least matumizi yake yanajulikana.

Sasa ile BILION 20 inasemekana bado ipo na haijaguswa wala nini.

Ipo kwenye benk ambayo haijulikani..[emoji23][emoji23]
 
Yaani msimu mmoja tu mnaona kila Mtu mbaya?
Kuna dalili mbaya nyingi zinaonekana.

Kwanza viongozi wamekuwa waongo waongo sana.
Walitudanganya Simba ikimtaka mchezaji yeyote,itampata.

Walitundanganya wachezaji hawajafanya vuzuri kwa sababu wamezoea ubingwa

Walitudanganya Morrison ameenda kushughulikia mambo ya familia yake
Walitudanganya Chama ana majeruhi

Walitudanganya Simba imewekewa Bilioni 20
Walitudanganya Simba ina hela haihitaji udhamini wa Azam wa 40B

Na sasa wanatudanganya wanasajili kimya kimya ili waje watufanyie supprize ya timu mbovu.

Watatudanganya timu inajipanga kwa ajili ya miaka ijayo
 
Mwisho wa siku tunakuuliza wewe

Unatumia sh ngapi kuisaidia Simba Sc kufanikiwa kwa msimu? Unatoa japo sh milion 10 ya kununulia matunda kambini? Au unawalaumu wanaotoa pesa zao na unaona wewe ndiye una uchungu kuliko wao sio?
 
Walitudanganya simba imechukua makombe nchi hii miaka minne mfululizo [emoji28]
 
Emhe
Klabu yangu pendwa inatakiwa kufanya mabadiliko makubwa kama inataka kupiga hatua,hii inatokana kuwa na msimu mbovu zaidi katika misimu mitano iliyopita.
Kama kutakuwa na tabia ya kuangaliana usoni hakika bado tutaendelea kupata maumivu.
 
Hii billion 20 inafanyia nini?
Wanashindwa nn kutoa hapo billion 2 watafute kocha world class.
Billion 8 wafanyie usajili wa kufuru. Alafu hiyo billion 5 itumike kulipa mishahara na mbwembwe zingine..then hiyo 5 ingine ibaki hapo bank kulinda account
 
Bilioni 20 itakuja kuivuruga simba huko mbele suburinj muda ni rafiki mzuri
 
Mapato ya Jezi si ndio yananunua wachezaji na kulipa mishahara.

At least matumizi yake yanajulikana.

Sasa ile BILION 20 inasemekana bado ipo na haijaguswa wala nini.

Ipo kwenye benk ambayo haijulikani..[emoji23][emoji23]
Wewe ndiye GSM?
 
Back
Top Bottom