Kuna haja Simba kufanya mageuzi makubwa

Halafu baada ya msimu zitawekwa Billion 20 zingine ili kuwepo muendelezo wa hayo unayosema?

Na kama sivyo hapo Simba Sc kuna vyanzo gani vya mapato ambavyo vinakupa uhakika wa kurudisha hicho kiasi cha billion 15 ambacho utakuwa umekitumis ndani ya msimu mmoja?

Matumizi ya biashara yoyote ile yanapaswa kuendana na uwiano wa kila ambacho kinaweza kupatikana, hata kama si faida basi kinachorudi kisiache pengo kubwa ikilinganishwa na kile kilichotoka, sasa utumie 15B ili iweje, au unadhani hela zinachimbwa tu??

Kwa hicho kichwa chako sidhani kama unaweza kuendesha biashara hata ya genge la nyanya hapo uswahili kwenu.
 
Haipo cash bwashee. Ukitaka jinsi ilivotumika utapewa ufafanuzi.
 
''BABURA" AONDOKE TUMEMCHOKA NA MUDI TUONESHE HIZO BILIONI 20 UMEWEKA KWENYE AKAUNTI GANI
Wewe umeweka hata laki pale..? Mishahara na usajili unalipia bei gani..?
 
Hahahah
 
''BABURA" AONDOKE TUMEMCHOKA NA MUDI TUONESHE HIZO BILIONI 20 UMEWEKA KWENYE AKAUNTI GANI
Alafu ukioneshwa utafanya nini!!!??? Ni hasara kubwa kuwa na shabiki wa namna yako.
 
Na utaendeshwa kweli kwa akili hizo ww B20 umepewa
Hela inawekwa bank sio hadharani. Acha ujuha. Ulitaka hela hiyo aje nayo mezani maburungutu.. ujuaji ukizidi utaonekana mjinga ile cheki hukuiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…