Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Halafu baada ya msimu zitawekwa Billion 20 zingine ili kuwepo muendelezo wa hayo unayosema?Hii billion 20 inafanyia nini?
Wanashindwa nn kutoa hapo billion 2 watafute kocha world class.
Billion 8 wafanyie usajili wa kufuru. Alafu hiyo billion 5 itumike kulipa mishahara na mbwembwe zingine..then hiyo 5 ingine ibaki hapo bank kulinda account
Na kama sivyo hapo Simba Sc kuna vyanzo gani vya mapato ambavyo vinakupa uhakika wa kurudisha hicho kiasi cha billion 15 ambacho utakuwa umekitumis ndani ya msimu mmoja?
Matumizi ya biashara yoyote ile yanapaswa kuendana na uwiano wa kila ambacho kinaweza kupatikana, hata kama si faida basi kinachorudi kisiache pengo kubwa ikilinganishwa na kile kilichotoka, sasa utumie 15B ili iweje, au unadhani hela zinachimbwa tu??
Kwa hicho kichwa chako sidhani kama unaweza kuendesha biashara hata ya genge la nyanya hapo uswahili kwenu.