Ngurubhe JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 1,840 Reaction score 1,049 Oct 2, 2016 Thread starter #21 gungele said: ww jamaa kuwa mpole kabisaaa mbona Mbowe ni shabiki kindakindaki wa yanga? Click to expand... Ikiwa hivyo inanizuia mim kutoa maoni yangu?...kwani mim siwezi kuwaza tofauti na Mbowe?
gungele said: ww jamaa kuwa mpole kabisaaa mbona Mbowe ni shabiki kindakindaki wa yanga? Click to expand... Ikiwa hivyo inanizuia mim kutoa maoni yangu?...kwani mim siwezi kuwaza tofauti na Mbowe?
Ngurubhe JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 1,840 Reaction score 1,049 Oct 2, 2016 Thread starter #22 idawa said: Siasa zimewaharibu vijana, kiasi kwamba kila kitu kwenye maisha yao ni siasa tu.! Yaani Yanga ya 1920 ibadilishe jezi kisa CCM ya 77.!? Click to expand... Toa maoni yako,sio kulalama tu,sema ungependa ccm ndio iabadili na sio yanga.kwanin watz huwa tnashindwa kujenga hoja badala yake kunung'unika tu!!.. Mim nimeliona hilo nawewe sa ulichokiona au unachofkiria
idawa said: Siasa zimewaharibu vijana, kiasi kwamba kila kitu kwenye maisha yao ni siasa tu.! Yaani Yanga ya 1920 ibadilishe jezi kisa CCM ya 77.!? Click to expand... Toa maoni yako,sio kulalama tu,sema ungependa ccm ndio iabadili na sio yanga.kwanin watz huwa tnashindwa kujenga hoja badala yake kunung'unika tu!!.. Mim nimeliona hilo nawewe sa ulichokiona au unachofkiria
rayyoungr JF-Expert Member Joined Jul 20, 2016 Posts 274 Reaction score 394 Oct 2, 2016 #23 Ndo maana asilimia 90 ya mashabiki wa yanga ni ccm