Kuna haja ya klabu ya Yanga kubadili jezi yake

Kuna haja ya klabu ya Yanga kubadili jezi yake

ww jamaa kuwa mpole kabisaaa
mbona Mbowe ni shabiki kindakindaki wa yanga?
Ikiwa hivyo inanizuia mim kutoa maoni yangu?...kwani mim siwezi kuwaza tofauti na Mbowe?
 
Siasa zimewaharibu vijana, kiasi kwamba kila kitu kwenye maisha yao ni siasa tu.!
Yaani Yanga ya 1920 ibadilishe jezi kisa CCM ya 77.!?
Toa maoni yako,sio kulalama tu,sema ungependa ccm ndio iabadili na sio yanga.kwanin watz huwa tnashindwa kujenga hoja badala yake kunung'unika tu!!..
Mim nimeliona hilo nawewe sa ulichokiona au unachofkiria
 
Back
Top Bottom