Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa maoni yako,sio kulalama tu,sema ungependa ccm ndio iabadili na sio yanga.kwanin watz huwa tnashindwa kujenga hoja badala yake kunung'unika tu!!..Siasa zimewaharibu vijana, kiasi kwamba kila kitu kwenye maisha yao ni siasa tu.!
Yaani Yanga ya 1920 ibadilishe jezi kisa CCM ya 77.!?