Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mtu aliyemaliza chuo mwaka 2010 huko bado atakuwa na hizo nguo? Na yuko kijijini mpanda huko?
Sijui unatetea nini ila uhalisia hakuna mtu kama uyo, hakuna muhitimu anayekosa surual na shati na kiatu. Point ni kwamba hatuwezi kuwa level moja ya mavazi lazima utofauti uwepo, cha muhimu ni kuwa nadhifu na kujipangalia vzr.