Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Mtu aliyemaliza chuo mwaka 2010 huko bado atakuwa na hizo nguo? Na yuko kijijini mpanda huko?
Lkn si ni usaili wa kazi? Na kwamba ukipata kazi unaambia conditions za kazi? Au pesa unayopewa kuanzia kazi ni ya nini ile? Si ni pamoja na maandalizi na kama huna nguo rasmi ukatafute?Mkuu unataka kusema we huelewi kuna watu wanavaa hadi vipedo na vimini-skeit kanisani? Jiulize why?
Alafu pia take into consideration kwamba kwa fani kama walimu mtu inatakiwa aingie darasani afundishe watoto wamuelewe unadhani kwa mavazi hapo juu watoto watakuwa na concentration?
Unajipangiliaje vizuri na shati la miaka 4 nyuma? Ebu nieleweshe hapo kwanza. Hautosema hili shati limepauka?Sijui unatetea nini ila uhalisia hakuna mtu kama uyo, hakuna muhitimu anayekosa surual na shati na kiatu. Point ni kwamba hatuwezi kuwa level moja ya mavazi lazima utofauti uwepo, cha muhimu ni kuwa nadhifu na kujipangalia vzr.
Kuna fani kama 'animation'; ukiijua hii, ata uende na bukta kazini hakuna shidaMh kwa sasa ni ngumu labda kwa hapo way back ndio baadhi ya fani unatafutwa mf engineers, Some Technicians, Designers nk but kwa sasa watu wamekuwa wengi ni gombania kombe
Maana yake, fani/ujuzi ulionao sio unique yeyote anaweza akafanyaKwanini tunaamini mavazi ni kipimo cha umahiri?
Hii sasa ndio hoya ya yule jamaa kwenye group, nikaona kama ana point hivi, ila kwakuwa tumezoea kuna mavazi fulani ndio wasaili huangalia basi kuna watu makini sana wanaachwa katika kupata kazi.Inategemea, Kama unaenda kichwa na nondo kwa kila eneo, mavazi hayana shida hata.
Ila kama unaenda mweupe na kuamini mavazi ndo yanakupa credit ni sawa.
Nina miaka 50, interview zote nilizoenda nilikuwa na tshirt na jeans, sijawahi kosa.
Kama kuna mavazi maalum na style si utaambiwa wakati wa kazi?
Hii mambo mnavaa nguo mpya, suti, tai, etc labda yawe maisha, ila sababu ya Interview? Trash
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3] Mpaka mbogo amkubali mtu basi kweli jamaa alikuwa balaaKuna mwamba mmoja alitoka Nchi za watu huko.
Alikuja na Tshirt imeandikwa wolf na Jeans kali sana.
Aisee jamaa alikuwa anajua umeme si kawaida.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Be casual..be smart kwa kichwa.
Hao si waajiriwa? Na wanalipwa? Sasa mtu anayetafuta ajira hayo mavazi anayatoa wapi?Ukienda TRA watu wanalipwa pesa nzuri lakini uvaaji wao kama wanavaa uniform yaani shati jeupe na blue bahari kawaida hivyo hivyo kwa Banks...Kaa chini ujiulize sana achana na wahuni hawa tafuta nguo nzuri uvae kuna marks..
Hyo inakuwa katika kipengele cha personality...
Bro ukienda kufanya interview lazima uchunguze utaratibu wa ofisi hyo kwanza ,hii ni siri nilipewa na mwalimu wangu na imekuja kunisaidia ...Unaweza kuulizwa je hiyo kampuni ina deal na kitu gani ?Hao si waajiriwa? Na wanalipwa? Sasa mtu anayetafuta ajira hayo mavazi anayatoa wapi?
Ukivaa jeans na T-shirt kali na convo kali shida nini? Tuaajili mwonekano au akili ya mtu?
We unaamini kwamba watu huenda kwenye usaili na mavazi yasiyo sahihi kwasababu hawana uwezo wa kuwa na mavazi sahihi? The answer is No... bali ni kupuuzia tu sio swala la uwezo hilo.Lkn si ni usaili wa kazi? Na kwamba ukipata kazi unaambia conditions za kazi? Au pesa unayopewa kuanzia kazi ni ya nini ile? Si ni pamoja na maandalizi na kama huna nguo rasmi ukatafute?
Hoja hapo anayosema jamaa ni kwamba Usaili unaangalia mavazi kwa sababu zipi?
Mavazi hayana uhusiano na akili ya mtu bhana, acha huu uongo. Hali ngumu ya nchi yetu ni kutokana na aina hiyo ya mawazo ya kipumbavu.We unaamini kwamba watu huenda kwenye usaili na mavazi yasiyo sahihi kwasababu hawana uwezo wa kuwa na mavazi sahihi? The answer is No... bali ni kupuuzia tu sio swala la uwezo hilo.
Coming to next question, mavazi yanaakisi Umahiri, Jibu ni Yes or No. Yes kwa maana ya kwamba mtu mahiri ni pamoja na kusoma code za mavazi zinazotakiwa mahali husika. Kinyume chake ni sawa kwamba mtu asiye na uwezo hata wa kujua sehemu hii nivae vipi ili niendane na usahihi wa eneo husika hawezi kuwa mahiri hata kwa performance (most of the times) though kuna exception ila most of the time ndio inakuwaga hivyo
Haya sawa we vaa kimini basi uende interviewMavazi hayana uhusiano na akili ya mtu bhana, acha huu uongo. Hali ngumu ya nchi yetu ni kutokana na aina hiyo ya mawazo ya kipumbavu.
Bro usikaze shingo sana hao watu wapo na hawana hata pasi na hata akiazima akanyooshe nguo gani, tusijifananishe jmn watu wanamaisha magumu sana.Sijui unatetea nini ila uhalisia hakuna mtu kama uyo, hakuna muhitimu anayekosa surual na shati na kiatu. Point ni kwamba hatuwezi kuwa level moja ya mavazi lazima utofauti uwepo, cha muhimu ni kuwa nadhifu na kujipangalia vzr.
Bro usikaze shingo sana hao watu wapo na hawana hata pasi na hata akiazima akanyooshe nguo gani, tusijifananishe jmn watu wanamaisha magumu sana.
hata hapa hapa JF Kuna member wanalala njaa huez amin Kwa kudhani mpka mtu awe jf basi anakazi au anasoma au Kwa namna yyte Ile anavijisent.
Mavazi na huna kazi? Umewaza kwa upana wake kweli? Mavazi yana impact gani kwenye kazi zako? Let say umepigilia T-shirt na Jeans itaathiri uwezo wako wa kufikiri au ufanisi?Kama unashindwa kua na muonekano smart utafanya vizuri kazi za watu kweli. Mavazi yana matter kwenye interview.