Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Poa ngoja nijikiti kupata mbinu thabiti ili niingie mzigoniuko sahihi,
kwasabb mahitaji ya soko ni makubwa mno ukilinganisha na upatikanaji wa huduma yenyewe.
In short wateja ni wengi mno kuliko soko na upatikanaji wa bidhaa 🐒