Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

Mkuu wengi wanawapata, nauli na kila kitu ni juu ya mwanamke then akifika anapiga maisha nakutoka hii nimeshuhudia kwa wengi gentleman.
sasa kwa mfano wewe upo hapo msata, mwenza wako yupo Lagos Nigeria na yupo tayari kuja msata na wakati huo bandle lenyewe la jero zimebaki mb63 na uko tee mbaya sana mfukoni na bado unaishi kwa wazazi,

nawe umempanga kwamba unayo kazi nzuri, una gari na upo apartments ya maana.

akisema kwa nauli yake anaondoka kesho dar, huwezi kuzima simu wewe gentleman na kukimbilia vikindu?🐒
 
Hapo kusema uwongo kwa totozi za kizungu ndio kujichanganya kwenyewe, bora wawe wakwel tu mapenzi ya kwel kwa wenzetu bado yapo mkuu.
 
Zamani ilikuwa safi naona hapa jirani wadogo zangu wameoa wa kutafutiwa wanaishi vizuri sana...Mimi nilikuwa busy na kusoma huko Dar🙂‍↔️
 
Kama uko tayari tu basi waambie wazazi au walezi hata kama haujapata bado ...Vijana wengi wenye tabia njema hupewa mke bila ya kutafuta huku kwetu tena simple sana.

Ukitaka type yako kama ulishindwa ukiwa chuoni basi rudi kwenu waambie wazazi ,nahisi sisi tulioishi na father alone ndio tunapata tabu .
 
Ipo mbona kitambo majukwaa kibao ya kutafuta mwenye sifa mnazofanana na wengi wamepatana humo hadi leo wanaishi maisha ya furaha
Zipo Uber au bolt za ndoa.
Mfano Pana tinder,na dating sites kibao tu mnamatch
 
Wabongo kibao mbona wameoana na watu wa mataifa yote duniani kwa njiaa hii
si kweli gentleman,
hapangekua na kundi kubwa namna hili linalotangatanga na kuhangaika kutafuta wake na waume kiasi hiki,

kati ya vijana elfu 10 unaweza usipate hata moja aliefanikiwa kwenye hilo, kusema wengi ni uoptoshaji 🐒
 
Back
Top Bottom