Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Poa ngoja nijikiti kupata mbinu thabiti ili niingie mzigoniuko sahihi,
kwasabb mahitaji ya soko ni makubwa mno ukilinganisha na upatikanaji wa huduma yenyewe.
In short wateja ni wengi mno kuliko soko na upatikanaji wa bidhaa π
Unacheka ? Saka wachumba kimataifa ukaliwakilishe taifa na weweπ€£π€£π€£π€£π€£
sasa kwa mfano wewe upo hapo msata, mwenza wako yupo Lagos Nigeria na yupo tayari kuja msata na wakati huo bandle lenyewe la jero zimebaki mb63 na uko tee mbaya sana mfukoni na bado unaishi kwa wazazi,Mkuu wengi wanawapata, nauli na kila kitu ni juu ya mwanamke then akifika anapiga maisha nakutoka hii nimeshuhudia kwa wengi gentleman.
Anza ukipata niambie na mimiUnacheka ? Saka wachumba kimaifa ukaliwakilishe taifa na wewe.
Hapo kusema uwongo kwa totozi za kizungu ndio kujichanganya kwenyewe, bora wawe wakwel tu mapenzi ya kwel kwa wenzetu bado yapo mkuu.sasa kwa mfano wewe upo hapo msata, mwenza wako yupo Lagos Nigeria na yupo tayari kuja msata na wakati huo bandle lenyewe la jero zimebaki mb63 na uko tee mbaya sana mfukoni na bado unaishi kwa wazazi,
nawe umempanga kwamba unayo kazi nzuri, una gari na upo apartments ya maana.
akisema kwa nauli yake anaondoka kesho dar, huwezi kuzima simu wewe gentleman na kukimbilia vikindu?π
Mimi umri wangu sio wakufukuzana na wanawake tena kwa kwelπAnza ukipata niambie na mimi
π€£π€£π€£π€£ng'ombe hazeeki maini mkuu π€£π€£Mimi umri wangu sio wakufukuzana na wanawake tena kwa kwelπ
Wabongo kibao mbona wameoana na watu wa mataifa yote duniani kwa njiaa hiiGentleman,
uwezo wa kutuma nauli ya ndege βοΈ upo? ikiwa tu nauli ya kumtoa mtu magomeni hadi mbagala kwa bodaboda haipo, achilia mbali nauli ya basi kutoka mkoani?π
Kaka mimi nimetafuta mwenyewe kama we umetafutiwa pole.Ni wazo jema na lita saidia Sana, endapo watafutaji wakiwa na maono na weredi.
mimi na ndugu yangu Half american tume tafutiwa wachumba na shemela wetu binti kiziwi .
najivunia kusema sijutii loloteπ
Nusu albinoKaka mimi nimetafuta mwenyewe kama we umetafutiwa pole.
Domo zegeNusu albino
Bora kuwa Domo zege, kuliko kuwa na rangi ya moto ππ€£Domo zege
si kweli gentleman,Wabongo kibao mbona wameoana na watu wa mataifa yote duniani kwa njiaa hii
Ntamuita bugatiBora kuwa Domo zege, kuliko kuwa na rangi ya moto ππ€£
ndindi nusu albino to the worldNtamuita bugati