Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Ili wakalitazame😄😄Au serikali waanzishe wizara maalum ya mahusiano,uchumba na ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili wakalitazame😄😄Au serikali waanzishe wizara maalum ya mahusiano,uchumba na ndoa
ukiainisha sifa na vigezo vya mwanamkea au mwanaume umtakaye ndiyo kundi la wenye sifa hizo utakae kutanishwa nao,Bila kuzingatia hisia zao
Kwakweli soko limekuwa gumu Huwa nikitokag ndio naona aisee Kuna wadada wazuri wan shape miguu ya bia lakn hawana ndoa hiv ni pepo au Niniuko sahihi,
kwasabb mahitaji ya soko ni makubwa mno ukilinganisha na upatikanaji wa huduma yenyewe.
In short wateja ni wengi mno kuliko soko na upatikanaji wa bidhaa 🐒
kua maskini au tajiri ni uamuzi wako binafsi,Kabla ya taasisi hiyo iundwa ya kuwafunza vijana wetu kukataa kuwa,ama kutumika kama chawa.Halafu ya kuwatafutia na kuwawezesha kupata ajira na mwisho wakiweza kujitegemea ama wakipata uhuru wa kiuchumi,kuoa sii shida,kufanya maamuzi sahihi juu ya mustakabali wa taifa letu sii shida.Na hapo ndio utakuwa ukombozi dhidi ya ukoloni mamboleo,kuwa chawa wa wanasiasa na makundi yenye kulinda maslahi yao pekee.
Nani kalaumu mtu?Ama ni kukumbishana hali ya mambo ilivyo kwa uhalisia kwa mazingira yetu ya sasa?kua maskini au tajiri ni uamuzi wako binafsi,
na kua na ajira au kua mzururaji mjini ni uamuzi wa mtu mvivu binafsi pia.
Ajira nyingi sana za uhakika na za kutosha zipo shambani. We ng'ang'ana mjini uote upara na mvi kwajili ya uvivu wako huku wenye bidii wakitusua, huku wewe ukilaumu wengine 🐒
Sio dunia ya sasaVijana wachangamkie kutafuta wachumba nnje ya mipaka ya Tanzania , mitandao ya kijamii ni njia nzuri kulifanikisha hilo.
YeahIli wakalitazame😄😄
Good thinking but to women these days love is not about the looks it includes money and worthy,ukiainisha sifa na vigezo vya mwanamkea au mwanaume umtakaye ndiyo kundi la wenye sifa hizo utakae kutanishwa nao,
sasa kazi itakua kwako kupeleka hisia kwa nani kati ya utakaowakuta na kuwaona physically kulingana na sifa ulizoainisha kwenye maombi yako 🐒
gentleman,Nani kalaumu mtu?Ama ni kukumbishana hali ya mambo ilivyo kwa uhalisia kwa mazingira yetu ya sasa?
Kuthubutu Ndiyo mpango mzimagentleman,
tukumbushane tukiwa kazini mashambani bila kulaumu serikali wala chama chochote cha siasa,
uoga ni kitu mbaya sana vijana wenzangu na uthubutu wa kufanya maamuzi magumu na kuchukua hatua, kutatufanya pasiwepo mnyonge kwenye maisha ya mahusiano, ndoa au biashara.
Twendeni kutumia fursa ya kilimo, biashara na ufugaji ili kuinjoy life bila lawama wala manung'uniko 🐒
Shemeji pita hama Mangos mlimani tunywe maji 😅
Imeisha hiyo mkuu!Maeneo yangu sana hayo, Tuonane kesho jioni Istanbul tunywe juisi, bill on me…
Imeisha vipi na hukuja?!Imeisha hiyo mkuu!
Sikukukuta mkuu!Imeisha vipi na hukuja?!
Njoo leoSikukukuta mkuu!
Njoo leo
Weee unakubali mchux wa kutafutiwa???? Au ilimradi inapenya tu??? 🤨
Kwakweli soko limekuwa gumu Huwa nikitokag ndio naona aisee Kuna wadada wazuri wan shape miguu ya bia lakn hawana ndoa hiv ni pepo au Nini
Nikijiangalia nilivo n sura y baba aah soko litakuwa gumu mara 6 yake 😃