Kuna haja ya kuanzisha taasisi maalum yakutafutia vijana wachumba wa kuoa kabisa sio ajira pekee yake

Bila kuzingatia hisia zao
ukiainisha sifa na vigezo vya mwanamkea au mwanaume umtakaye ndiyo kundi la wenye sifa hizo utakae kutanishwa nao,

sasa kazi itakua kwako kupeleka hisia kwa nani kati ya utakaowakuta na kuwaona physically kulingana na sifa ulizoainisha kwenye maombi yako 🐒
 
uko sahihi,
kwasabb mahitaji ya soko ni makubwa mno ukilinganisha na upatikanaji wa huduma yenyewe.

In short wateja ni wengi mno kuliko soko na upatikanaji wa bidhaa 🐒
Kwakweli soko limekuwa gumu Huwa nikitokag ndio naona aisee Kuna wadada wazuri wan shape miguu ya bia lakn hawana ndoa hiv ni pepo au Nini
Nikijiangalia nilivo n sura y baba aah soko litakuwa gumu mara 6 yake 😃
 
Kabla ya taasisi hiyo iundwa ya kuwafunza vijana wetu kukataa kuwa,ama kutumika kama chawa.Halafu ya kuwatafutia na kuwawezesha kupata ajira na mwisho wakiweza kujitegemea ama wakipata uhuru wa kiuchumi,kuoa sii shida,kufanya maamuzi sahihi juu ya mustakabali wa taifa letu sii shida.Na hapo ndio utakuwa ukombozi dhidi ya ukoloni mamboleo,kuwa chawa wa wanasiasa na makundi yenye kulinda maslahi yao pekee.
kua maskini au tajiri ni uamuzi wako binafsi,

na kua na ajira au kua mzururaji mjini ni uamuzi wa mtu mvivu binafsi pia.

Ajira nyingi sana za uhakika na za kutosha zipo shambani. We ng'ang'ana mjini uote upara na mvi kwajili ya uvivu wako huku wenye bidii wakitusua, huku wewe ukilaumu wengine 🐒
 
Nani kalaumu mtu?Ama ni kukumbishana hali ya mambo ilivyo kwa uhalisia kwa mazingira yetu ya sasa?
 
ukiainisha sifa na vigezo vya mwanamkea au mwanaume umtakaye ndiyo kundi la wenye sifa hizo utakae kutanishwa nao,

sasa kazi itakua kwako kupeleka hisia kwa nani kati ya utakaowakuta na kuwaona physically kulingana na sifa ulizoainisha kwenye maombi yako 🐒
Good thinking but to women these days love is not about the looks it includes money and worthy,

Mwanamke hawezi kula uzuri wako ama kuvaa uzuri wako
 
Nani kalaumu mtu?Ama ni kukumbishana hali ya mambo ilivyo kwa uhalisia kwa mazingira yetu ya sasa?
gentleman,
tukumbushane tukiwa kazini mashambani bila kulaumu serikali wala chama chochote cha siasa,

uoga ni kitu mbaya sana vijana wenzangu na uthubutu wa kufanya maamuzi magumu na kuchukua hatua, kutatufanya pasiwepo mnyonge kwenye maisha ya mahusiano, ndoa au biashara.

Twendeni kutumia fursa ya kilimo, biashara na ufugaji ili kuinjoy life bila lawama wala manung'uniko 🐒
 
Kuthubutu Ndiyo mpango mzima
 
Kwakweli soko limekuwa gumu Huwa nikitokag ndio naona aisee Kuna wadada wazuri wan shape miguu ya bia lakn hawana ndoa hiv ni pepo au Nini
Nikijiangalia nilivo n sura y baba aah soko litakuwa gumu mara 6 yake 😃

Kinacho waponza wanatamaa ya fedha na kuamini wamezakiwa kwa ajili ya wanaume matajiri ndio maana wengi wao huishia kuwa nyumba ndogo, then wanazalishwa na kuachwa au kuna age ikisonga wanapigwa chini. Majority wanatabia mbovu na akili ya kuamini hata wakiachika wanapata mwengine swala la uvumilivu hawana.

Halafu kama hujui wanawake wenye mwonekano wa kawaida wana demand ya kubwa sana kwenye soko la ndoa kama unabisha tembelea page za Mamc then tizama maharusi.Kwenye swala la ndoa wanaume huwaga wana vigezo vingine kabisa nje ya uzuri, ndio maana unakuta mwamba kabadilisha wanawake wakali,ila siku anakuja kuoa wote mnashangaa anao mwanamke wa kawaida.
 
Back
Top Bottom