wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe ndani ya ukoo isiwe ya nje.
Pia makabila mengi ya waafrika kulikuwa na njia za kupima dna japo sina uhakika kama zilifanya kazi, hii yote ni kwasababu waafrika hawapendi watoto wa nje, Ndio asili yetu.
Zama zimebadilika sana, sio kama zamani, kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wanaume kubambikiwa watoto kwasababu maadili kwa vijana wa kiume na wakike yamepungua, Utandawazi unaochochea ngono, watoto wa kike wapo huru sana sio kama zamani, gesti na lodge zimezagaa, simu zimerahisisha sana mahusiano ya siri, n.k.
Utamaduni huu ungeendelezwa kisasa zaidi, mwanamke kuzaa mtoto liwe suala la kawaida sana, Baada ya vipimo vya DNA TEST ndipo kuwe na shamra shamra, sherehe za kumkaribisha mtoto na zawadi kede kede,
Waasisi wa utamaduni huu wawe ndugu na wazazi upande wa mwanaume, yaani matokeo ya dna test yanapotoka mtoto ni wa kwao, simu ziwe za mfululizo, foleni ya kwenda kumpa pongezi, waandalizi wakuu wa sherehe, n.k.
Exceptions ziwepo ikiwa mwanamke kabakwa