Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.

Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
 
Kwa ujumla vifo vingi vya wanasiasa wa Tanzania hasa CCM vina utata utata.

Kifo cha Karume, utata.

Kifo cha Sokoine, utata.

Kifo cha Kolimba, utata.

Kifo cha Nyerere, utata.

Kifo cha Mkapa utata.

Kifo cha Magufuli, utata.

Kifo cha Membe utata.

Hata kifo cha Mtikila pia ni utata.
 
Hakika umenena, ni full utata. Nadhani hata walioko nyuma ya hivyo vifo vya utata, watondoka duniani kwa utata na orodha itaendelea kuwa ndefu zaidi, unless watoke hadharani na kutubu
 
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.

Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
Ujinga toa wamekufa over,chunguzeni watekaji
 
Kwa maana fupi BEN sanane HAPANA?
Na pia unachunguza kwa bajeti ya nani?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwa ujumla vifo vingi vya wanasiasa wa Tanzania hasa CCM vina utata utata.

Kifo cha Karume, utata.

Kifo cha Sokoine, utata.

Kifo cha Kolimba, utata.

Kifo cha Nyerere, utata.

Kifo cha Mkapa utata.

Kifo cha Magufuli, utata.

Kifo cha Membe utata.

Hata kifo cha Mtikila pia ni utata.
Kifo n kifoooo muraaaahahahahaaaaaaaaaaa
 
Wanamtandao hawawezi kukubali hilo kufanyika. Likilzaimishwa sana, wao na familia zao hawatakuwepo nchini.
 
Naona parallel to the issues concerned ingekuwa mukide sana.Yaani ni mumo kwa pale chunguzi ziende sambamba.Tusisahau,waliomfanya TAML range and target wachunguzwe.
Wapumbavu km wewe mkafanye hiyo kazi hakuna mwenye akili apoteze muda na rasilimali kufanya utaahira km huo.
 
Back
Top Bottom