Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

ukilijua hili nenooo mahakaman

hutowaza

""uchunguzii unaendeleaaaa**

namtafutagaa huyuu uchunguzi sina hamu naee
 
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.

Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
ROSTAM AZIZI NDITE ANAYE RATIBU MAUAJI YA WATU MBALIMBALI KWENYE TAIFA ...HATA KIFO CHA MCHUNGAJI MTIKIRA KUNA MKONO WAKE NA PONJORI MMOJA MMILIKI MABASI NA SHEKH MMOJA MADHUHURI KIDOGO DAR
 
Kwa ujumla vifo vingi vya wanasiasa wa Tanzania hasa CCM vina utata utata.

Kifo cha Karume, utata.

Kifo cha Sokoine, utata.

Kifo cha Kolimba, utata.

Kifo cha Nyerere, utata.

Kifo cha Mkapa utata.

Kifo cha Magufuli, utata.

Kifo cha Membe utata.

Hata kifo cha Mtikila pia ni utata.
Karume Risasi
Sokoine ajali
Mtikila ajali
Wengine ni mapenzi yetu ya nadharia zisizothibitishwa
 
Kwa ujumla vifo vingi vya wanasiasa wa Tanzania hasa CCM vina utata utata.

Kifo cha Karume, utata.

Kifo cha Sokoine, utata.

Kifo cha Kolimba, utata.

Kifo cha Nyerere, utata.

Kifo cha Mkapa utata.

Kifo cha Magufuli, utata.

Kifo cha Membe utata.

Hata kifo cha Mtikila pia ni utata.
So hadi kifo cha Rais ni utata, tuna usalama
Kweli au ndio show off
 
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.

Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
Kuna kitu nilitaka kusema....

Ngoja niseme kwa ufupi...
Kabla ya Mkapa..Kuna jasusi alikufa na kwa jina anaitwa Mahiga..

Na Mahiga wakati anaondoka..alitoa CODE kwa system iliyompeleka JIWE kijijini kwao siku karibu 50...watu wakafikiri anaogopa corona...

Anyway...huko mbeleni yatawekwa wazi
 
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.

Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
Wenyewe wataanza kuulizana nani amvishe paka kengele?
 
Kwenye list zenu msimsahau pia Amina chifupa
 
Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.

Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
Tuchunguze kwanza kupigwa risasi kwa Lisu tena eneo nyeti lenye ulinzi 24/7 mchana
 
Back
Top Bottom