Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hakika umenena, ni full utata. Nadhani hata walioko nyuma ya hivyo vifo vya utata, watondoka duniani kwa utata na orodha itaendelea kuwa ndefu zaidi, unless watoke hadharani na kutubuKwa ujumla vifo vingi vya wanasiasa wa Tanzania hasa CCM vina utata utata.
Kifo cha Karume, utata.
Kifo cha Sokoine, utata.
Kifo cha Kolimba, utata.
Kifo cha Nyerere, utata.
Kifo cha Mkapa utata.
Kifo cha Magufuli, utata.
Kifo cha Membe utata.
Hata kifo cha Mtikila pia ni utata.
Ujinga toa wamekufa over,chunguzeni watekajiUchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo.
Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
Kama wamekufa watu kuchunguza walikufajekufaje tatizo liko wapi?Ujinga toa wamekufa over,chunguzeni watekaji
Who tuongeze listYupo dada mmoja alikuwa mpambaji hata kwa mwendazake alipamba, she died silence nimesahau jina lake
Naona parallel to the issues concerned ingekuwa mukide sana.Yaani ni mumo kwa pale chunguzi ziende sambamba.Tusisahau,waliomfanya TAML range and target wachunguzwe.Kwa kuwa nao ni watu kama kina ben saa nane ,ali kibao,soka et al basi vice versa is true.
Kifo n kifoooo muraaaahahahahaaaaaaaaaaaKwa ujumla vifo vingi vya wanasiasa wa Tanzania hasa CCM vina utata utata.
Kifo cha Karume, utata.
Kifo cha Sokoine, utata.
Kifo cha Kolimba, utata.
Kifo cha Nyerere, utata.
Kifo cha Mkapa utata.
Kifo cha Magufuli, utata.
Kifo cha Membe utata.
Hata kifo cha Mtikila pia ni utata.
Wagogo watasema mnawatenga.Sitta na Ndugai watoe hapo.
Wapumbavu km wewe mkafanye hiyo kazi hakuna mwenye akili apoteze muda na rasilimali kufanya utaahira km huo.Naona parallel to the issues concerned ingekuwa mukide sana.Yaani ni mumo kwa pale chunguzi ziende sambamba.Tusisahau,waliomfanya TAML range and target wachunguzwe.
Hapana mmeku.Bhiita ni bhiita rakini kifo ndicho kifo wa kwetu!Kifo n kifoooo muraaaahahahahaaaaaaaaaaa