Ubunge ndio ajira pekee nono ndani ya bongo,baada ya haya majitu kuaribu uchumi,tangu 2015,utumishi pekee wenye ukwasi mnono,ni ubunge tu,
MTU kama Prof Juma Kapuya,Leo anautaka ubunge tena,huyu alishawahi kuwa waziri wa ulinzi,elimu,miaka ya 1998,lakini kitaa kuchungu,bado anataka aingie mjengoni,
Ajira gani ambayo ukikaa tu,unalipwa!
Baada ya miaka mitano,unabeba mafao yako yote,sio utumishi wa umma,mpaka usubiri miaka 60.
MTU pekee ambaye na on a anaingia kwenye ubunge ili kuleta tija na mchango chanya uliotukuka,kama atapewa nafasi ni Charles Kimei,CEO wa zamani wa CRDB,wengine wote wanasukumwa na njaa tu,ukiacha waheshimiwa ambao ni wafanyabiaahara wakubwa,Shabiby,Moil,Nchambis,SH harmony,Msukuma,MTU kama Agrey mwanry,au Kapuya hawa ni njaa tu,wanaofia kufa maskini.