Kuna haja ya kuchunguza kinachowakimbiza wateule wa Rais kwenye vyeo vyao, yawezekana wamechoka kutumikishwa

Wewe ndio inabidi ujichunguze!.. kama unaamini wanakacha nafasi zao bila kupewa go ahead... Ni hivi...hakuna mwenye jeuri ya kuacha uteuzi bila kumconsult Mzee,..na ikitokea hao wakashindwa utegeemee kuwaona tena kwenye teuzi zijazo...
Nakubaliana na wewe, huu ni mchezo unachezwa, haiwezekani wanaona kabisa wenzao wakitangaza wanatumbuliwa alafu na wae wafuate mfumo ule ule
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo .

Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa chochote , hakuna atakayewachagua , lakini mbona wameacha kazi walizopewa wakiwa wamepigika ? kuna nini huko kwenye utumishi wa kuteuliwa , mbona walioteuliwa na kupewa nafasi hizo , tena wakiwa wamechoka mno wanaondoka ?

Kafulila baada ya maisha kumwendea kombo alianzisha mradi wa kupigisha muziki kwenye maharusi na kipaimara huko Kigoma , ina maana anaacha kazi ili arudi kwenye biashara hii ? wakuu ni lazima tuwe wakweli , kwenye hizi kazi za kuteuliwa kuna shida
Ubunge ndio ajira pekee nono ndani ya bongo,baada ya haya majitu kuaribu uchumi,tangu 2015,utumishi pekee wenye ukwasi mnono,ni ubunge tu,
MTU kama Prof Juma Kapuya,Leo anautaka ubunge tena,huyu alishawahi kuwa waziri wa ulinzi,elimu,miaka ya 1998,lakini kitaa kuchungu,bado anataka aingie mjengoni,
Ajira gani ambayo ukikaa tu,unalipwa!
Baada ya miaka mitano,unabeba mafao yako yote,sio utumishi wa umma,mpaka usubiri miaka 60.
MTU pekee ambaye na on a anaingia kwenye ubunge ili kuleta tija na mchango chanya uliotukuka,kama atapewa nafasi ni Charles Kimei,CEO wa zamani wa CRDB,wengine wote wanasukumwa na njaa tu,ukiacha waheshimiwa ambao ni wafanyabiaahara wakubwa,Shabiby,Moil,Nchambis,SH harmony,Msukuma,MTU kama Agrey mwanry,au Kapuya hawa ni njaa tu,wanaofia kufa maskini.
 
Nitakuwa wa mwisho kuyaamini haya maigizo.
 
Musihadaike, hyo ni safu ya mawaziri inasukwa.
 
Teuzi zijazo watawekwa wapi wakati wengine wanaendelea kuapishwa,ina maana waliapishwa watatolewa tena kwenye hizo nafasi ?
Wewe ndio inabidi ujichunguze!.. kama unaamini wanakacha nafasi zao bila kupewa go ahead... Ni hivi...hakuna mwenye jeuri ya kuacha uteuzi bila kumconsult Mzee,..na ikitokea hao wakashindwa utegeemee kuwaona tena kwenye teuzi zijazo...
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo .

Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa chochote , hakuna atakayewachagua , lakini mbona wameacha kazi walizopewa wakiwa wamepigika ? kuna nini huko kwenye utumishi wa kuteuliwa , mbona walioteuliwa na kupewa nafasi hizo , tena wakiwa wamechoka mno wanaondoka ?

Kafulila baada ya maisha kumwendea kombo alianzisha mradi wa kupigisha muziki kwenye maharusi na kipaimara huko Kigoma , ina maana anaacha kazi ili arudi kwenye biashara hii ? wakuu ni lazima tuwe wakweli , kwenye hizi kazi za kuteuliwa kuna shida
Kama majungu na uzushi basi una degree tatu.
 
Mtukufu amewakana wote aliowatuma kwenda kugombea ubunge ili awape uwaziri lakini ukweli wapo waliotumwa hasa majalala profesa Kabudi,waziri wa fedha mipango, waziri waziri Ndumbalo na wengineo akiwepo jafo, Bashite, Gambo ingawa kawahadaa watanzania kwa kujidai kuwakandia wana 1982 lakini yupo nao moyoni ni mda unasubiriwa wapewe uwaziri.
 
Ubunge ndio ajira pekee nono ndani ya bongo,baada ya haya majitu kuaribu uchumi,tangu 2015,utumishi pekee wenye ukwasi mnono,ni ubunge tu,
MTU kama Prof Juma Kapuya,Leo anautaka ubunge tena,huyu alishawahi kuwa waziri wa ulinzi,elimu,miaka ya 1998,lakini kitaa kuchungu,bado anataka aingie mjengoni,
Ajira gani ambayo ukikaa tu,unalipwa!
Baada ya miaka mitano,unabeba mafao yako yote,sio utumishi wa umma,mpaka usubiri miaka 60.
MTU pekee ambaye na on a anaingia kwenye ubunge ili kuleta tija na mchango chanya uliotukuka,kama atapewa nafasi ni Charles Kimei,CEO wa zamani wa CRDB,wengine wote wanasukumwa na njaa tu,ukiacha waheshimiwa ambao ni wafanyabiaahara wakubwa,Shabiby,Moil,Nchambis,SH harmony,Msukuma,MTU kama Agrey mwanry,au Kapuya hawa ni njaa tu,wanaofia kufa maskini.

Hahahah kwamba msukuma ni mfanyabiashara mkubwa sio?Msiomjua msukuma hua mnadhani ni mtu wa muhimu sana,hua nawaonea huruma tu.
 
Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo .

Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa chochote , hakuna atakayewachagua , lakini mbona wameacha kazi walizopewa wakiwa wamepigika ? kuna nini huko kwenye utumishi wa kuteuliwa , mbona walioteuliwa na kupewa nafasi hizo , tena wakiwa wamechoka mno wanaondoka ?

Kafulila baada ya maisha kumwendea kombo alianzisha mradi wa kupigisha muziki kwenye maharusi na kipaimara huko Kigoma , ina maana anaacha kazi ili arudi kwenye biashara hii ? wakuu ni lazima tuwe wakweli , kwenye hizi kazi za kuteuliwa kuna shida
Tatizo la bwana yule akikuteua basi kesho yako huijui. Tena atakuchamba na kukutumbua hadharani.
Bora wanaona waende ubunge ambako yeye hana uwezo wa kukutumbua. Anatakiwa ajifunze kitu.
 
Wewe ndio inabidi ujichunguze!.. kama unaamini wanakacha nafasi zao bila kupewa go ahead... Ni hivi...hakuna mwenye jeuri ya kuacha uteuzi bila kumconsult Mzee,..na ikitokea hao wakashindwa utegeemee kuwaona tena kwenye teuzi zijazo...
Teuzi zijazo zipi?wakati jiwe anapigwa mchana kweupe
 
Kama uchaguzi ungekuwa huru hakuna my angeacha u RC aje agombee Ni kiburi Cha kuamini kuwa hata nikishindwa kwa nchi hii wa CCM atatangazwa kitu ambacho mwaka huu hakipo.
 
We si nasikia ana mabasi mengi tu na biashara za nguvu?

Hahah hayo ma bus umeshayaona hali yake,mpk RTO hua anayapiga marufuku kusafirisha wateja,anayafunga kamba za katani kule chini kwny sehemu za kufunga bolts,nuts.

Hapo alipo ana kesi ya kuwadhulumu Toyota Dodoma centre mil 28 walizomtengenezea gari yke ana kesi kwa Spika,ma bank ana kesi za kukopa mikopo kwa kutumia nyumba ya mtu mwingine,ana default mikopo huko kwny ma bank.,kifupi ana makesi mengi kila sehemu.

Msukuma hana biashara yoyote ya maana hapa mjini zaidi ya ujanjaujanja/kudhulumu kwa sana tu.
 
Dah maisha yana mengi
 
Back
Top Bottom