Kuna haja ya kuficha kinachojadiliwa kama kina manufaa ya wananchi?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya

Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu!

Kwa kifupi Time is best judge and it will tell!

Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga?

Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili

AD28DB34-2002-48E7-9684-B3C4568CA5D1.jpeg

Sidhani kama kuna haja ya kuficha hoja na agenda zinazoendelea

Where is Transparency,

Britanicca
 
mbowe kishawapiga na kitu kizito endleeni kula mtoli nyama ziko chini
 
Baadhi yenu ni Bora mara1000 mkabaki gizani mara zote mmekuwa SII wa kuaminika na dhamira zenu zimekuwa haziko wazi na mara zote zinalenga ubinsfsi zaidi. Hivyo ni Bora waendelee kufanywa majadiliano kwa njia hii ya Sasa baadae watawapatieni mrejesho wenye tija Kwa taifa.
 
CHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa!

Nimemweleza katibu kwamba minutes ziandikwe kama zilivyo wasizikwepeshe!

Kikao cha awali na Mbowe kulikuwa ni kujadili walete hoja zipi na zipi siziguswe

KATIBA Mpya imeguswa kisanii sana sana yan

Uhuru wa Kujieleza Kwa wananchi imeguswa Kwa neno moja

Ila cha kushangaza Chadema wana leta hoja za kwamba tu Naomba umsamehe Lissu , kwani Lissu ana kosa gani?

Ujinga mtupu ndani ya Chama
 
Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya

Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu...
Hujui hata maana ya mazungumzo nyeti. Tangu lini resolutions zikatolewa hadharani prematurely? kama ni hints mmeshapewa na Mnyika. Sasa mnataka nini tena? Subirini mtapewa utakapofika muda muafaka.
 
CHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa...
bilion 6 siyo mchezo mkuu lazima mtu achanganyikiwe hahahaaa MBOWE
 
Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya

Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu!

Kwa kifupi Time is best judge and it will tell!

Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga?
Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili

View attachment 2238025

Sidhani kama kuna haja ya kuficha hoja na agenda zinazoendelea

Where is Transparency,

Britanicca
Unaumia nini bwege wewe kamuulize lipumba au zito alijadili nini na samaia ikulu
 
CHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa!

Nimemweleza katibu kwamba minutes ziandikwe kama zilivyo wasizikwepeshe!

Kikao cha awali na Mbowe kulikuwa ni kujadili walete hoja zipi na zipi siziguswe

KATIBA Mpya imeguswa kisanii sana sana yan

Uhuru wa Kujieleza Kwa wananchi imeguswa Kwa neno moja

Ila cha kushangaza Chadema wana leta hoja za kwamba tu Naomba umsamehe Lissu , kwani Lissu ana kosa gani?

Ujinga mtupu ndani ya Chama
Wahuni
 
Linapokuja swala la upinzani hapa Tz watu pekee wenye dhamira ya dhati huwa ni mwananchi wa chini (wafuasi), ila malra zote viongozi huwa wapo kule kujitafutia matumbo yao kupitia mtaji wa hawa wafuasi wao.
 
Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya

Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu!

Kwa kifupi Time is best judge and it will tell!

Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga?

Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili

Sidhani kama kuna haja ya kuficha hoja na agenda zinazoendelea

Where is Transparency,

Britanicca
Wewe ulisema siasa umestafu na kuwa Chadema imekufa sasa unataka nini tena. Mbona unaungulia rohoni?
 
Linapokuja swala la upinzani hapa Tz watu pekee wenye dhamira ya dhati huwa ni mwananchi wa chini (wafuasi), ila malra zote viongozi huwa wapo kule kujitafutia matumbo yao kupitia mtaji wa hawa wafuasi wao.
Sukuma gang fc at work.

Nyie walipokuwa wamefungwa mlisema wamejitakia sasa wanataka kula Asali mnawafata fata wa nini?
 
CHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa!

Nimemweleza katibu kwamba minutes ziandikwe kama zilivyo wasizikwepeshe!

Kikao cha awali na Mbowe kulikuwa ni kujadili walete hoja zipi na zipi siziguswe

KATIBA Mpya imeguswa kisanii sana sana yan

Uhuru wa Kujieleza Kwa wananchi imeguswa Kwa neno moja

Ila cha kushangaza Chadema wana leta hoja za kwamba tu Naomba umsamehe Lissu , kwani Lissu ana kosa gani?

Ujinga mtupu ndani ya Chama
Kaandike agenda za kwako na wewe
 
Baadhi yenu ni Bora mara1000 mkabaki gizani mara zote mmekuwa SII wa kuaminika na dhamira zenu zimekuwa haziko wazi na mara zote zinalenga ubinsfsi zaidi. Hivyo ni Bora waendelee kufanywa majadiliano kwa njia hii ya Sasa baadae watawapatieni mrejesho wenye tija Kwa taifa.
Nimependa sana usiri unaoendelea. Naona wanaccm wanalamika eti agenda ya Katiba mPya tumeificha.

Kumbe na wao wanaitaka?🤣🤣
 
Mikataba ya madini yote ni siri na bado tunaambiwa ina maslahi ya nchi. Kuna vikao walikaa akina Kabudi kipindi cha dhalimu na Barrick, vikao vile ya karibia miezi mitatu vilikuwa vya siri kubwa na tuliambiwa ni vya maslahi ya taifa. Hayo yote huyajui ama umepofushwa na hizi siasa chafu zilizokupotezea hadhi hapa jf? Naona unalazimisha kurudi kwenye game kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom