Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
CHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa!
Nimemweleza katibu kwamba minutes ziandikwe kama zilivyo wasizikwepeshe!
Kikao cha awali na Mbowe kulikuwa ni kujadili walete hoja zipi na zipi siziguswe
KATIBA Mpya imeguswa kisanii sana sana yan
Uhuru wa Kujieleza Kwa wananchi imeguswa Kwa neno moja
Ila cha kushangaza Chadema wana leta hoja za kwamba tu Naomba umsamehe Lissu , kwani Lissu ana kosa gani?
Ujinga mtupu ndani ya Chama
Mwenzako anasema kikao kina usiri mwingi, ww unajua kila kinachojadiliwa, kwanini usimsaidie ili asilete uzi wa kupunguzia stress?