britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Hujui hata maana ya mazungumzo nyeti. Tangu lini resolutions zikatolewa hadharani prematurely? kama ni hints mmeshapewa na Mnyika. Sasa mnataka nini tena? Subirini mtapewa utakapofika muda muafaka.Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya
Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu...
bilion 6 siyo mchezo mkuu lazima mtu achanganyikiwe hahahaaa MBOWECHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa...
Unaumia nini bwege wewe kamuulize lipumba au zito alijadili nini na samaia ikuluGiza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya
Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu!
Kwa kifupi Time is best judge and it will tell!
Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga?
Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili
View attachment 2238025
Sidhani kama kuna haja ya kuficha hoja na agenda zinazoendelea
Where is Transparency,
Britanicca
WahuniCHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa!
Nimemweleza katibu kwamba minutes ziandikwe kama zilivyo wasizikwepeshe!
Kikao cha awali na Mbowe kulikuwa ni kujadili walete hoja zipi na zipi siziguswe
KATIBA Mpya imeguswa kisanii sana sana yan
Uhuru wa Kujieleza Kwa wananchi imeguswa Kwa neno moja
Ila cha kushangaza Chadema wana leta hoja za kwamba tu Naomba umsamehe Lissu , kwani Lissu ana kosa gani?
Ujinga mtupu ndani ya Chama
Wewe ulisema siasa umestafu na kuwa Chadema imekufa sasa unataka nini tena. Mbona unaungulia rohoni?Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya
Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu!
Kwa kifupi Time is best judge and it will tell!
Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga?
Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili
Sidhani kama kuna haja ya kuficha hoja na agenda zinazoendelea
Where is Transparency,
Britanicca
Sukuma gang fc at work.Linapokuja swala la upinzani hapa Tz watu pekee wenye dhamira ya dhati huwa ni mwananchi wa chini (wafuasi), ila malra zote viongozi huwa wapo kule kujitafutia matumbo yao kupitia mtaji wa hawa wafuasi wao.
Toka lini uliwahi kuwa mtetezi wa upinzani? Wewe kama mwanaccm ikiwa upinzani ni dhaifu si ndio furaha yako? mbona kama unaumia.Narudia, ANAYEAMINI KUNA UPINZANI BASI AKAPIMWE TEZI JIKE!!
Well said.Mazungumzo bila faragha ni kikao cha hadhara.
Ndio maana ya kuwa na viongozi, na viongozi bila imani hakuna maana.
Kaandike agenda za kwako na weweCHADEMA kuna uhuni mwingi unaendelea chini ya Kapeti, Nina wahakikishia agenda zoote ambazo wameleta mezani nimeshangaa KATIBA Mpya imeandikwa ikiwa ya mwisho kabisa!
Nimemweleza katibu kwamba minutes ziandikwe kama zilivyo wasizikwepeshe!
Kikao cha awali na Mbowe kulikuwa ni kujadili walete hoja zipi na zipi siziguswe
KATIBA Mpya imeguswa kisanii sana sana yan
Uhuru wa Kujieleza Kwa wananchi imeguswa Kwa neno moja
Ila cha kushangaza Chadema wana leta hoja za kwamba tu Naomba umsamehe Lissu , kwani Lissu ana kosa gani?
Ujinga mtupu ndani ya Chama
Na hapa wamepiga penyewe.Kanuni moja kuu ya majadiliano ni usiri.
Nimependa sana usiri unaoendelea. Naona wanaccm wanalamika eti agenda ya Katiba mPya tumeificha.Baadhi yenu ni Bora mara1000 mkabaki gizani mara zote mmekuwa SII wa kuaminika na dhamira zenu zimekuwa haziko wazi na mara zote zinalenga ubinsfsi zaidi. Hivyo ni Bora waendelee kufanywa majadiliano kwa njia hii ya Sasa baadae watawapatieni mrejesho wenye tija Kwa taifa.
Wahuni