Kuna haja ya kuficha kinachojadiliwa kama kina manufaa ya wananchi?

Mwenzako anasema kikao kina usiri mwingi, ww unajua kila kinachojadiliwa, kwanini usimsaidie ili asilete uzi wa kupunguzia stress?
 
Toka lini uliwahi kuwa mtetezi wa upinzani? Wewe kama mwanaccm ikiwa upinzani ni dhaifu si ndio furaha yako? mbona kama unaumia.
Aisee! Wewe una matatizo mawili mpaka sasa;

1. Huelewi. Sijaona nilipotetea au kujihusisha na upinzani (ili iweje kwanza?!!!). Mi nimesema tu kilichopo; furaha yangu siasani ipo katika kuona kina mbowe wanavyowachezesheni karata zao vizuri.......inanichekesha sana!
2. Kumbe wewe ni mmojawapo unayeamini kuna upinzani?!!!! Tafadhali kapime tezi niliyoisema!
 
Sukuma gang fc at work.

Nyie walipokuwa wamefungwa mlisema wamejitakia sasa wanataka kula Asali mnawafata fata wa nini?
We mshenzi nini? Kwahiyo sikuhizi kila mtu akiongea ni lazima aitwe sukuma gang, au nayo ni sifa ya kutafutia likes humu?? Sukuma gang baba yako na mama yako.

Unashindwa kujadili hoja , umekalia kuita watu Sukuma gang.
 
Jamaa yuko desparate sana😅😅
 
Umejuwaje kuwa kinachojadiliwa sio tunachoambiwa??
 
Hiyo transparency mnaitaka kwa CHADEMA pekee? Mbona hamuwaulizi mboga-mboga?
Kwani CHADEMA hivyo vikao huwa wanakaa peke yao?

Zitto has sold his soul to the devil. Tunafahamu upande aliouchagua!
 
Safi kabisa mkuu. Umejibu sawia kabisa
 
Sikuwahi kujua kuwa wewe ni act-wazalendo, hongera.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kikao kinamaslahi binafsi kwa CHADEMA sio kwa mwananchi wa kawaida.
 
Hiyo transparency mnaitaka kwa CHADEMA pekee? Mbona hamuwaulizi mboga-mboga?
Kwani CHADEMA hivyo vikao huwa wanakaa peke yao?

Zitto has sold his soul to the devil. Tunafahamu upande aliouchagua!
Anahangaika na chadema wakati washirika wake wapo au ushirika wao ni wamashaka anaona ni heri apate uhakika chadema 🤔
 
mpaka anawafokea wasiitukane serikali wala viongozi wa serikali kweli pesa nyko
Kama mungu wa Chato lilivyokuwa linatufokea kila likipata chance ya kuhutubia wananchi baada ya wananchi kutaka kujua zilipokwenda tilioni moja na nusu, pesa kweli ni nyko
 
Kama mungu wa Chato lilivyokuwa linatufokea kila likipata chance ya kuhutubia wananchi baada ya wananchi kutaka kujua zilipokwenda tilioni moja na nusu, pesa kweli ni nyko
cag alisema hakuna hela imepotea na hata kama aliiba lakini alipozipeleka mnazion mpaka sasa ona jiji linavyopendeza acheni ujuha mbowe kapewa hela ya kujenga ofisi kala mpaka leo amepanga aibu kubwa sana
 
Mikopo iliyokopwa awamu ya tano ifanyiwe review maana miladi tunayoonyweshwa haiendani na mikopo tuliokopa. (mwanaccm nguli Nape Mnauye- bungeni)

Dar kupendeza ilianza kitambo acha uzwazwa.
 
Zitto analinda ulaji wa kikosi kazi. Tusubiri CCM na CHADEMA waingie makubaliano haka kakikosi kajifie mbali.
 
Mikopo iliyokopwa awamu ya tano ifanyiwe review maana miladi tunayoonyweshwa haiendani na mikopo tuliokopa. (mwanaccm nguli Nape Mnauye- bungeni)

Dar kupendeza ilianza kitambo acha uzwazwa.
SIYO KWELI JPM KAIBADIRISHA SANA
 
Kwa hiyo kina Mbowe na dhalimu wako hawana tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…