Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.

Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
 
View: https://vt.tiktok.com/ZSaNXajAC/
Na hawa waliojeruhiwa iundwe mahakama HURU kuendesha mashitaka kuwahisu ili haki itendeke na tuone ikitendeka.
 
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.

Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Enzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?

Ni wakati sasa wananchi tukaungana pamoja kukemea maovu. Na siyo mpaka uguswe au uumizwe, ndiyo na wewe ubadilike.
 
Waliouawa October 29 siyo waandamanaji ni watu walikuwa kwenye mitaa yao. Waandamanaji wapo wanadunda mpaka leo
 
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.

Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.

Ngonjera zenu zinachosha kwa kweli, kwani ile ya tarehe 9 Desemba iliishia wapi vilee
 
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.

Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Hebu taja mmoja wa ndugu zako
 
Wee jamaa si ulikuwa chama moja kama Lucas Msandambwa? lazima yamekukuta bado kina gallow na lile jitu lenye shingo nene na udini uliopitiliza, na nimefurahi kama wamekufanya kitu mbaya
 
Ona hii mbuzi
images (2).jpeg
 
Enzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?

Ni wakati sasa wananchi tukaungana pamoja kukemea maovu. Na siyo mpaka uguswe au uumizwe, ndiyo na wewe ubadilike.
Mimi nimeshangaa hiyo I.d kuandika aliyoandika. Kama ni yeye kweli, basi watu wanabadilika.
 
Enzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?

Ni wakati sasa wananchi tukaungana pamoja kukemea maovu. Na siyo mpaka uguswe au uumizwe, ndiyo na wewe ubadilike.
Enzi za magu huyu Etwege alituita sisi vyeti fake Sasa sijui yamemsibu yepi chini ya Samia.
 
Back
Top Bottom