Kuna haja ya kuitisha maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu

Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.

Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Nadhani ikohaja ya kujuwa haya.
Maiti inaanza kuharibika baada ya masaa 24- 72.
Hasa ikiwa ilipowekwa hakuna hewa na kuna umajimaji na joto.
Serikali ilitangaza watu kwenda kuchukuwa miili ya wapendwa wawo, hawakujitokeza.
Madakatri wa kufanya poste mortem walikuhawapo sababu siku mbili mpaka nne hakutokeki.
Umeme ulikuwa wa shida.
Maiti ziliharibika na ingeweza kuleta mfumko wa maradhi.
Serikali ilibi i wakawazike kwa haraka au kuepuka maradhi ni kuwatia moto.

Sasa hapa wakulaumiwa nani?
Walofanya fujo kufanya vifo kutokea au walozu wia fujo.

Kama wewe nidereva wa basi na umepakia watu kiasi 75 ndani na ghafl;a unapinda corner unakuta mtu barabarani.
Ukimponda utaslimika wewe na abiria wote 75 au usimponde ili nyie nyote ndani mufe.
Suali utafanya nini?

Watanzania tuji ulize sisi ni watu wa aina gani
Tunakwenda kumpiga mtu walahujuwi kafanya nini sababu kanadiwa mwizi na moto kuchoma.
Polisi ni miongoni mwawatanzania wanao fanya hayo ya kupiga na kutia moto wezi wanapokuwa urauani.

Sasa unadhani anapokuwa kavaa gwanda la polisi atafanya nini akiona wezi, wapigaji ,wahuni,na wanafanya fujo.
Hataki hata amri ,atachukuwa hatuwa mikononi mwake.

Tuzingatieni haya kwa makini.
Yalopita ya shapita sasa vipi kujilinda na au kuwa nabusara yasitokee tena
 
Hiyo siku ya maandamano mtatueleza yote, tuanzia kuwanyoa ngazi ya kata
 
Back
Top Bottom