Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Kinembe cha mamayoOna hii mbuzi
Enzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
We kondoo umeinamia chini huoni mbele.Ona hii mbuzi
Waliouawa October 29 siyo waandamanaji ni watu walikuwa kwenye mitaa yao. Waandamanaji wapo wanadunda mpaka leoEnzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?
Ni wakati sasa wananchi tukaungana pamoja kukemea maovu. Na siyo mpaka uguswe au uumizwe, ndiyo na wewe ubadilike.
Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Hebu taja mmoja wa ndugu zakoYanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Halafu nyuzi zao ndiyo zimejaa humu,jukwaa limekua hovyo kweli,halina madini halina nini,yaani hovyo tu,punde lotajifiaNgonjera zenu zinachosha kwa kweli, kwani ile ya tarehe 9 Desemba iliishia wapi vilee
Ona hii mbuzi
Kageuza gia angani..Enzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?
Mimi nimeshangaa hiyo I.d kuandika aliyoandika. Kama ni yeye kweli, basi watu wanabadilika.Enzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?
Ni wakati sasa wananchi tukaungana pamoja kukemea maovu. Na siyo mpaka uguswe au uumizwe, ndiyo na wewe ubadilike.
Lazima kapigwa na kitu kizito au family member 😂Kageuza gia angani..
Enzi za magu huyu Etwege alituita sisi vyeti fake Sasa sijui yamemsibu yepi chini ya Samia.Enzi za Magu, ulikuwa huna tofauti na Lucas Mwashambwa! Ilikuwa ni mwendo wa mapambio mwanzo mwisho! Kulikoni?
Ni wakati sasa wananchi tukaungana pamoja kukemea maovu. Na siyo mpaka uguswe au uumizwe, ndiyo na wewe ubadilike.
Halafu nyuzi zao ndiyo zimejaa humu,jukwaa limekua hovyo kweli,halina madini halina nini,yaani hovyo tu,punde lotajifia