CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Lucas Mwashambwa walimbaka mtungo siku ya mkesha wa mwaka mpya lakini hajakoma ila hadi leo anatembea miguu upande maana walimtoa bawasiri.Wee jamaa si ulikuwa chama moja kama Lucas Msandambwa? lazima yamekukuta bado kina gallow na lile jitu lenye shingo nene na udini uliopitiliza, na nimefurahi kama wamekufanya kitu mbaya
Sheikh Sharif MajiniHebu taja mmoja wa ndugu zako
Mbona maandamano yapi kila siku? Lakini ya kwenye mitandaoYanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Wewe ndiyo leo wa kuyasema haya??Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Huna akili dogo.Lucas Mwashambwa walimbaka mtungo siku ya mkesha wa mwaka mpya lakini hajakoma ila hadi leo anatembea miguu upande maana walimtoa bawasiri.
Wahuni siyo watu wazuri hata kidogo walikufokoa kinomanoma 😄😄😄Huna akili dogo.
Hizi chokochoko za nini tena wakati Mama kasema keshaliponya Taifa kwa kuunda wizara ya vijana.Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Yule ni shetani katika umbile la mwanadamu. Siyo binadamu yule!!Hilo limama nimelitoa moyoni kabisa
Shida ni moja tu kwa hawa ndugu zetu! Wanapokuwa ndani ya mfumo, wanafikiri wameyashinda maisha. Ndiyo kipindi hiki utawakuta wanajitoa ufahamu, wanatukejeli, nk.Enzi za magu huyu Etwege alituita sisi vyeti fake Sasa sijui yamemsibu yepi chini ya Samia.
Inashangaza sana! Bado hatujaiona ID ya yule Elitwege! Hawa jamaa enzi hizo ndiyo walikuwa kama hawa akina Lucas Mwashambwa na Tlatlaa! Walikuwa wanakera kweli kweli.Mimi nimeshangaa hiyo I.d kuandika aliyoandika. Kama ni yeye kweli, basi watu wanabadilika.
Etwege na Eltwege ni watu wawili tofauti?Yanahitaji maandamano makubwa ya kudai miili ya wapendwa wetu.
Ukisikiliza watu wanaofika mbele ya tume kutoa ushahidi wa jinsi wapendwa wao walivyouawa na miili yao kupotezwa kwa kweli inasikitisha sana.
Rais Samia huwezi kuuwa ndugu zetu kama panya alafu pia utuzuie kuwazika kwa heshima, hivyo basi tunaandaa maandamano makubwa ya wananchi yenye ajenda moja tu ya kudai utupatie miili ya wapendwa wetu.
Etwege ndiye huyo huyo Elitwege ilikuwa backup ID akipigwa ban ana switchInashangaza sana! Bado hatujaiona ID ya yule Elitwege! Hawa jamaa enzi hizo ndiyo walikuwa kama hawa akina Lucas Mwashambwa na Tlatlaa! Walikuwa wanakera kweli kweli.
Inasikitisha sanaWee jamaa si ulikuwa chama moja kama Lucas Msandambwa? lazima yamekukuta bado kina gallow na lile jitu lenye shingo nene na udini uliopitiliza, na nimefurahi kama wamekufanya kitu mbaya
Jikite kwenye hojaEtwege ndiye huyo huyo Elitwege ilikuwa backup ID akipigwa ban ana switch
Mimi binafsi kama ningekuwa naishi mitaa ya kimara,Segerea au popote zilipotokea vurugu leo hii nisingekuwepo maanake hio siku risasi zinatembea mimi niko mtaani kwenye mambo yangu uchaguzi haukuwa kwenye ratiba zangu.Waliouawa October 29 siyo waandamanaji ni watu walikuwa kwenye mitaa yao. Waandamanaji wapo wanadunda mpaka leo
Hawa kina Etwege Idugunde Stroke Nyankurungu2020 awamu ya Samia iliwatapika ndio maana wameamua kuasi, nafasi zao zimeshajazwa na kina Lucas Mwashambwa gallow bird Dr wa Manesi ChoiceVariableInashangaza sana! Bado hatujaiona ID ya yule Elitwege! Hawa jamaa enzi hizo ndiyo walikuwa kama hawa akina Lucas Mwashambwa na Tlatlaa! Walikuwa wanakera kweli kweli.