Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:-
1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika,
2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani,
3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika,
4. Sadio Mane kutoka Senegal akiwa mchezaji wa club ya Bayern Munich ndiye mchezaji bora wa Afrika,
5. Pape Ousman Sakho kutoka Senegal ambaye ni mchezaji wa Simba Sports Club ndiye mfungaji wa goli Bora kwa Afrika yote.
Sidhani kama kuna nchi ya Afrika iloyowahi kufikia rekodi hii ya Soka kwa Afrika.
Tukajifunze huko wanafanya nini hawa kina Mane.
NB: Chama langu Simba tupieni macho zaidi Senegal kuna watoto under 20 wanapiga boli hatari ili waje Msimbazi.