Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi.
Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto au jua.
Kwa kawaida huwa kuna plastic maalumu kwa ajili ya chakula(food grade) ambayo imeonekana kuwa haitoi kirahisi hizo microplastics.
Tz matumizi ya plastic kwenye vyakula ni makubwa sana. Kuanzia ndoo, vikombe na sahani.
Kuna haja ya kupiga marufuku matumizi ya plastiki kwenye chakula?