TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya ukimwi,.
Kuna haja ya kuwa na kampeni tokomeza umasikini kuliko kampeni tokomeza ukimwi. Mabango yote ya miradi yaandikwe "Tanzania bila umasikini inawezekana" badala ya "Tanzania bila ukimwi inawezekana"
Kuna haja ya kuwa na kampeni tokomeza umasikini kuliko kampeni tokomeza ukimwi. Mabango yote ya miradi yaandikwe "Tanzania bila umasikini inawezekana" badala ya "Tanzania bila ukimwi inawezekana"