Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia.
JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia.
Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa.
Nawasilisha
HABARI OFFICIAL CODE YA JAMIIFORUMS FANTASY LEAGUE NI HII HAPA
Tuendelee kujoin currently just for fun , tujitahidi kushare hiyo code .JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia.