Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
HakikaKweli kabisa mkuu
👍Imfikie Maxence Melo
Hakika
Itapendeza ikawa ni official jf but ikishindikana itabidi tuundeTupeane joining code tu apa
IundweEpl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia .
JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia .
Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M ,wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa .
Nawasilisha
Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia.
JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia.
Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa.
Nawasilisha
ndio ligi namba moja nchini!Ea radio ndio best haina washamba
Gw ni game week ,fpl ni fantasy premiere league ,100k kwa wiki gw ziko 38 ,hiyo 1M ni ya mshindi wa jumla ligi ikiisha .Sjaelewa :
gw ??
fpl. ??
100k kwa wiki 38 ni 3.8M wa jumla ni 1M
Gw ni game week ,fpl ni fantasy premiere league ,100k kwa wiki gw ziko 38 ,hiyo 1M ni ya mshindi wa jumla ligi ikiisha .
HakikaHii itapendeza sana
👍Hii itapendeza sana