abdallahross
Member
- Feb 16, 2017
- 37
- 23
Epl ndiyo ligi pendwa kwa ukanda wa Africa mashariki hivyo watu wengi wanaifuatilia.
JF fpl kwanza itangaza zaidi Forum lakini pia itakuwa burudani kwa members pia.
Anaweza tafutwa mdhamini kila gw winner akapata 100k kwa week 38 ni 3.8M wa jumla 1M na utaaribu wa mshindi wa mwezi ukaangaliwa.
Nawasilisha
Kweli kabisa mkuu
Tupeane joining code tu apa
Itapendeza ikawa ni official jf but ikishindikana itabidi tuunde
Dah itapendeza Sana kama vipi unda ligi leta code wadau turuke nayo mapema ..
Iwekwe code tufurahie mtanange
Umetisha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Nimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
👍Nimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
GoodNimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
DohNimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
Yani anamaanisha, Jf warudishe lile jukwaa pendwa (ukubwani)😊😊Sjaelewa :
gw ??
fpl. ??
100k kwa wiki 38 ni 3.8M wa jumla ni 1M
Tayar nimeshaingiza timu yangu uwanjaniNimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
Nimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
Nishaingiza timu uwanjani....Nadhani kesho tutashare kwenye social medias hii code 8sb3sf
Iko poa [emoji106]View attachment 2713106
Hii title vipi ikae hivyo hivyo au ifanyiwe changes ? Tukatoa hapo fpl tukaweka JF super league au Jamii Forum super league or soka league au vyovyote vile kuongeza mvuto .
Iko poa [emoji106]
Nishaingiza timu uwanjani....
Nimetengeneza hii apa code 8sb3sf
Bado mdhamini tu ss
Waambie Mods wabadili title isomeke, Jf Fantasy premier League: official thread