Kuna haja ya kuwa na JF Fantasy EPL

Mtueleweshe basi.
Haupo alone. Jamaa Katoa. Link cha kwanza kuignin. Siwezi sign up sijui kitu. Hii naona hainihusu.
Fantasy league ni kama game yaani unachagua wachezaji kutoka timu mbalimbali epl kupitia official site yao ,halafu unakuwa unapata points kulingana na performance ya wale wachezaji wako na ndivyo ranks zinavyopangwa kulingana na points ulizopata .

Kwa Maelezo Zaidi ingia Fantasy Premier League, Official Fantasy Football Game of the Premier League
 
Ipo tangu 2019
 

Attachments

  • 20230813_093802.jpg
    57 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…