polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Mifumo mingi sana ya KITEHAMA ya serikali ya TANZANIA ni majanga makubwa na inafanya kaz chini ya kiwango kabisa kuanzia mifumo ya malipo yan TRA ,mifumo ya malipo ya huduma , mifumo ya taarifa na maeneo mengi yanayo tumia mifumo ya kitehama ni tatizo sana sana
Nadhani kuna haja ya kuwa na MTEHAMA mkuu wa serikali ili yeye ndiye awe answerable maana mifumo inasumbua na hujui wa kumuuliza au msimamizi wake ni nani.
Sasa hatujui tatizo ni hao wataalamu wao walio waweka wapo chini ya kiwango !? Au ndio mambo ya kuajili GPA na sio umakini na ujuzi wa kazi.
Mfano: mifumo kamanya TRA wiki mbili zilizo pita nimehangaika TRA kupana control namba tu ya malipo naisubiri siku mbili eti mtandao upo down yaani hadi nikarudi tena siku ya pili na yenyewe control namba nikaipata saa 10 jioni tangu nilipo enda asubuhi saa tatu hebu nambie nani atakuwa na moyo wa kupoteza mda huo kuhangaika kulipa mapato wakati anajua atapoteza siku mbili kusubiri mfumo u generate control number tu.
Ukija kwenye mifumo ya taarifa kama NECTA hapo sasa kipindi cha matokeo ndio utajuta kuwafahamu unaweza hangaika siku nzima na na website yao ukashindwa.
Njoo mfumo wa ajira eti mtu aamke saa 8 usiku kutuma maombi.
Mifumo mingine ya afya na mashuleni huko balaa tupu mda wote mtandao upo down kazi haziendi tattizo ninini hiii mifumo ya serikali karibu maeneo yote iwe ya kubahatisha?