Kuna haja ya kuwa na Mtehama Mkuu wa Serikali, mifumo mingi kimtandao ya Serikali inasumbua sana

Kuna haja ya kuwa na Mtehama Mkuu wa Serikali, mifumo mingi kimtandao ya Serikali inasumbua sana

Suluhisho na mifumo kusumbua ni Fedha, utaalamu hafifu na kazi za kupeana kindugu mtu kafeli form six kajikongoja IFM au India ana backup anapewa kazi.

TRA hata aende Director wa IT mzungu pale pana jini la kukwapua kupitia systems mifumo itachezewa tuu. Lakini siku hizi wamejitahidi sana.

Katika sehemu isingetegemewa mifumo kusuasua ni CRDB lakini nako pamoja na fedha, utaalamu na kila kitu bado kuna benki ukienda unaambiwa systems ziko down.
 
Back
Top Bottom