Watu wanapokelewa, wanafanya KAZI hata mwaka na bado wanarudishwa walikotoka.kama ameshapokelewa anakoenda hawezi kurudishwa.
Watu wanachonga vibali vya uhamisho Kama hawana akili nzuri......tumilioni twako tu unapata kibali, Ila likibumburuka ndo balaa.Uhamisho wa kimagumashi ndiyo upi?..aisee Bongo nyoso.
Mkuu,mshahara unaweza kuhama baada ya muda gani tangu mtumishi ahameWatu wanapokelewa, wanafanya KAZI hata mwaka na bado wanarudishwa walikotoka.
Muhimu ahamishe mshahara, Kama uhamisho ni wa magumashi mshahara utagoma kuhama......mshahara ukihama basi akae kwa kujiachia.
Kwa hiyo nikiwa Kamilioni kangu naweza hamia TRA au BOT nikimbie huku Harmashauri Mpimbwe?.Watu wanachonga vibali vya uhamisho Kama hawana akili nzuri......tumilioni twako tu unapata kibali, Ila likibumburuka ndo balaa.
Unapofunga data hamisha na mshahara on the spot.Mkuu,mshahara unaweza kuhama baada ya muda gani tangu mtumishi ahame
🤣🤣🤣🤣 Hiyo ni halmashauri Kwa halmashauri.....huko BOT uwe na mbanga ya kueleweka.Kwa hiyo nikiwa Kamilioni kangu naweza hamia TRA au BOT nikimbie huku Harmashauri Mpimbwe?.
Haya ni maajabu 😀Watu wanapokelewa, wanafanya KAZI hata mwaka na bado wanarudishwa walikotoka.
Muhimu ahamishe mshahara, Kama uhamisho ni wa magumashi mshahara utagoma kuhama......mshahara ukihama basi akae kwa kujiachia.
Yani sijasimuliwa nimeona live mtu karudishwa alikotoka.Haya ni maajabu 😀