Kuna haja ya kuwazindika watoto wetu

wenzio wanaenda na mafuta ya mwamposa na maji wanapaka kiganjani na kufungulia milango na makofulii

wenzio wanaomba dua kabla ya kugusa kitu chochote ofisini mwaoo

usirudie tena siku ingine kujifanya ujuii ila chai yako ina mdalasini mwingi sanaa
 
DUUUUH
 
Kwenu kuna mambo hayo sie wengine hayatupati ng'o
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…