Kuna haja ya kuwazindika watoto wetu

Kuna haja ya kuwazindika watoto wetu

Pole sana ndugu. Dar kwa ulozi hawajambo. Waliwahi nipofusha navuka ubungo mataa katikati ya barabara 2015. Namshukuru Mungu niliponea kwetu ila sitokaa nisahau

Pole sana mkuu.. dunia ni fumbo la wazi wazi
 
Mambo ya kawaida Sana hayo mkuu,Ila pole kwa changamoto.siku nyingine follow the instruction.
 
Ah ah ah babu sio mganga “ alifanya tu mambo ya mila zetu na desturi za attack and defense tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23] Watu wanafikiri nafanya biashara ya matangazo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa yeyote aliewahi patwa na haya maswaiba na akatatua mambo yake kama Mtoa Mada yaliyo mkuta naomba msaada wa huyo mtaalamu aliemsaidia,nahtaji mtaalamu haswaa kwenye mambo yangu,hasa ya Ulinzi wa mali na vitu vyangu.
NJOO GEITA MKUU NIKUPELEKE KWA KONKI WA HAYO MAMBO. NICHEKI WATSAP 0744033555
 
Pole sana...Ni ngumu sana kuamini haya Mambo Kama hujawahi kukutana nayo.
 
Kwa yeyote aliewahi patwa na haya maswaiba na akatatua mambo yake kama Mtoa Mada yaliyo mkuta naomba msaada wa huyo mtaalamu aliemsaidia,nahtaji mtaalamu haswaa kwenye mambo yangu,hasa ya Ulinzi wa mali na vitu vyangu.
Bora zako wewe unazo, mimi zangu zilishamalizikaga.
 
Haya Mambo yapo...

Nimewahi shuhudia kesi Kama hii..mtu alipotezwa namna hiyo! Alirudi kwa rehema za Mungu tu!
 
Haya Mambo yapo...

Nimewahi shuhudia kesi Kama hii..mtu alipotezwa namna hiyo! Alirudi kwa rehema za Mungu tu!

Kuwaaminisha ni ngumu sana mpaka iwatokee au waone tukio ila kwa kweli mambo yapo na hiyo ni kweli kabsa.. dunia hii wewe acha tu
 
Back
Top Bottom