Kwanza kabisa niweke Wazi mimi sio mfuasi wa mfumo wa vyama vingi sababu
1. Unagawa watu hivyo ni rahisi kuingia katika machafuko
2. Ni rahisi kwa Baadhi ya viongozi wa vyama kuhujumu Nchi kwa kudhaminiwa na Mataifa ya Nje
3. Nchi zetu za Afrika bado changa kuwa mawazo mbadala kutoka vyama pinzani ikichukulia kila chama huwa kinatafuta kukubalika kwa wananchi kwa namna yoyote ile.
Pili nimewaza sana na kuona Nchi kama Nchi inapoteza hela nyingi sana kupitia vyama vya siasa lakini katika vyama hivyo baadhi havina ushawishi wowote kwa Raia hivyo nikawa na Mapendekezo yafuatayo kwenye katika yetu

- Yawekwe masharti magumu sana mpaka kufikia Chama Kusajiliwa.
- Kuwe na utaratibu wa kufuta vyama ,yaani vyama viwe vinapewa points kulingana kura za uchaguzi na idadi viongozi waliopita ,Mfano chama kikikosa hata diwani,mbunge au Rais chaguzi kuu 2 mfululizo kifutwe.
- Kupitia idadi ya Points vilivyo navyo Vyama katika B ,vyama vitano Bora Ndio vitoe Wajumbe wa Tume huru ya Uchaguzi .Ambayo itakuwa inaenda inabadilika kila Baada ya miaka 5 kulingana na points za uchaguzi uliopita.