Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakao ifikisha Tanzania bora ya kesho.
Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa lweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.
"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!
Exactly 💯, iliyopo ni ya waganga njaa na makada wao.naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
P
Sema mzee kwa Tanzania tulipofikia akitokea Adui nje kutugawa watanzania Sasa hivi ni raihisi uzalendo hakuna kabisa na hiyo yote imeletwa na CCM watu wanajua uzalendo ni kuimba mapambio ya mitano na watu wachache kula keki ya Taifa ikitokea adui wale ambao keki haiwafikii watataka tukose wotenaunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
✅Hoja nzuri
Una habari wakili mwenzako Charles rwechungura kafariki leo alafijiri kafia hapo saffie hospitalnaunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Paskali Mayala, most the time unaongea. Ukweli bila kupindisha.naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Duh。。。!。Hii ndio naisikia kwako,hata kule TLS bado haijapandishwa!。Last week TLS walitupa taarifa ya kulazwa kwake。Una habari wakili mwenzako Charles rwechungura kafariki leo alafijiri kafia hapo saffie hospital
Ova
Wateuliwa wote ni makada wa CCMHistoria ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakaoifikisha Tanzania bora ya kesho.
Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa kweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.
"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!
RIPDuh。。。!。Hii ndio naisikia kwako,hata kule TLS bado haijapandishwa!。Last week TLS walitupa taarifa ya kulazwa kwake。
P
Leo sijui umelalia wapi? goodnaunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Subiri anyimwe tenda na TCRA anatugeukaAksante sana P
Paskali Mayala, most the time unaongea. Ukweli bila kupindisha.
Ukweli kama ule wa hadithi ya mfalme ambaye alisifiwa kuwa vazi limempendeza, kumbe alikuwa "UCHI NA KORODANI ZILIKUWA ZONAONEKANA ZIKINING'NINIA.
Kwanza wana maovu kibaoHawawezi kuwa wazalendo maana ili wasife njaa inabidi CCM iwepo madarakani
Pale hakuna tume ni makada wa CCM tupuTume ipi ya kufanya usawa?
Impossible jamani na huu ndio ukweli wa miaka yote.
Ndiyo hivyo tena mashine imeondokaDuh。。。!。Hii ndio naisikia kwako,hata kule TLS bado haijapandishwa!。Last week TLS walitupa taarifa ya kulazwa kwake。
Huu ni msiba mkubwa sana tasnia ya sheria,aliwahi kuwa president wa TLS twice,ukiondoa Mkono na Immma, law firm yao ya Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani, Advocates ilikuwa among the top 5!。
RIP Adv。 Rwechungura
P
UP Date
Dear Member,
It is with deep regret that we inform you of the untimely death of our Senior Counsel TLS member (Former TLS President) Advocate Charles Rutayuga Burchad Rwechungura Roll number 463 of Kinondoni chapter who passed away yesterday evening 18th February 2025 at Saifee Hospital, due to sickness.
We shall keep you posted as we receive more information on the burial ceremony.
MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE, AMEN
Je utashiriki kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao P?naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P