Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakaoifikisha Tanzania bora ya kesho.
Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa kweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.
"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!