Pre GE2025 Kuna haja ya Tume ya Uchaguzi kuwa wazalendo wa kweli na kufanya haki kwaajili ya watanzania wote sio mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakaoifikisha Tanzania bora ya kesho.

Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa kweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.

"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!
 
Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakao ifikisha Tanzania bora ya kesho.

Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa lweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.

"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。

kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
 
Sema mzee kwa Tanzania tulipofikia akitokea Adui nje kutugawa watanzania Sasa hivi ni raihisi uzalendo hakuna kabisa na hiyo yote imeletwa na CCM watu wanajua uzalendo ni kuimba mapambio ya mitano na watu wachache kula keki ya Taifa ikitokea adui wale ambao keki haiwafikii watataka tukose wote
 
  • Thanks
Reactions: ywf
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。

kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。

kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Una habari wakili mwenzako Charles rwechungura kafariki leo alafijiri kafia hapo saffie hospital

Ova
 
Aksante sana P

Paskali Mayala, most the time unaongea. Ukweli bila kupindisha.

Ukweli kama ule wa hadithi ya mfalme ambaye alisifiwa kuwa vazi limempendeza, kumbe alikuwa "UCHI NA KORODANI ZILIKUWA ZONAONEKANA ZIKINING'NINIA.
 
Una habari wakili mwenzako Charles rwechungura kafariki leo alafijiri kafia hapo saffie hospital

Ova
Duh。。。!。Hii ndio naisikia kwako,hata kule TLS bado haijapandishwa!。Last week TLS walitupa taarifa ya kulazwa kwake。

Huu ni msiba mkubwa sana tasnia ya sheria,aliwahi kuwa president wa TLS twice,ukiondoa Mkono na Immma, law firm yao ya Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani, Advocates ilikuwa among the top 5!。
RIP Adv。 Rwechungura
P
UP Date

Dear Member,
It is with deep regret that we inform you of the untimely death of our Senior Counsel TLS member (Former TLS President) Advocate Charles Rutayuga Burchad Rwechungura Roll number 463 of Kinondoni chapter who passed away yesterday evening 18th February 2025 at Saifee Hospital, due to sickness.

We shall keep you posted as we receive more information on the burial ceremony.

MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE, AMEN
 
Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakaoifikisha Tanzania bora ya kesho.

Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa kweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.

"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!
Wateuliwa wote ni makada wa CCM
 
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。

kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Leo sijui umelalia wapi? good
 
Duh。。。!。Hii ndio naisikia kwako,hata kule TLS bado haijapandishwa!。Last week TLS walitupa taarifa ya kulazwa kwake。

Huu ni msiba mkubwa sana tasnia ya sheria,aliwahi kuwa president wa TLS twice,ukiondoa Mkono na Immma, law firm yao ya Maajar, Rwechungura, Nguluma & Makani, Advocates ilikuwa among the top 5!。
RIP Adv。 Rwechungura
P
UP Date

Dear Member,
It is with deep regret that we inform you of the untimely death of our Senior Counsel TLS member (Former TLS President) Advocate Charles Rutayuga Burchad Rwechungura Roll number 463 of Kinondoni chapter who passed away yesterday evening 18th February 2025 at Saifee Hospital, due to sickness.

We shall keep you posted as we receive more information on the burial ceremony.

MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN ETERNAL PEACE, AMEN
Ndiyo hivyo tena mashine imeondoka

Ova
 
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。

kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Je utashiriki kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao P?
 
Back
Top Bottom