Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
hili sio swali!,tuulizane maswali na sio kuuliza majibu kuyageuza swali!。Je utashiriki kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao P?
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hili sio swali!,tuulizane maswali na sio kuuliza majibu kuyageuza swali!。Je utashiriki kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao P?
Mbona Leo una akili??naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。
kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Tume ipiHistoria ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakaoifikisha Tanzania bora ya kesho.
Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa kweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.
"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!
Hii ya ccm? Acha utaniHistoria ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakaoifikisha Tanzania bora ya kesho.