Pre GE2025 Kuna haja ya Tume ya Uchaguzi kuwa wazalendo wa kweli na kufanya haki kwaajili ya watanzania wote sio mtu mmoja

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
naunga mkono hoja, ila hatua ya kwanza ni hiyo tume iwepo kwanza ndipo itende hiyo haki。

kwa sasa tumebadili tuu sheria na jina la tume ya uchaguzi,kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi,kuwa Tume Huru ya Uchaguzi,lakini tume yenyewe bado ni ile ile!。
P
Mbona Leo una akili??
 
Historia ya Tanzania tangu ukoloni ni uzalendo na kujitoa kwa maslahi ya watu wote sio ya mtu mmoja uzalendo huo ndio umetufikisha hapa hivi leo kwenye Tanzania ya sasa nzuri na kwa hakika ni uzalendo huo huo pia ndio utakaoifikisha Tanzania bora ya kesho.

Nitoe wito kuelekea uchaguzi mkuu tume huru ya taifa ya uchaguzi inapaswa kuwa wazelendo wa kweli kwa kufanya haki kwa kuangalia maslahi ya watanzania wengi maskini wote na sio kwa maslahi ya mtu mmoja.

"Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki tume huru ya taifa ya uchaguzi" Amina!
Tume ipi
 
Hii ya ccm? Acha utani
 
Back
Top Bottom