ULINZI jukumu lao la msingi wanadili na external criminals/enemies na treatment yao ni kuwaua as much as possible wakati Polisi focus yao ni internal criminals ambao treatment yao ni kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.Kama ndivyo basi wizara ya ULINZI ijumuishe POLISI na JWTZ then Magereza,Uhamiaji na Fire inabaki mambo ya ndani
Sawasawa..Kama ndivyo basi wizara ya ULINZI ijumuishe POLISI na JWTZ then Magereza,Uhamiaji na Fire inabaki mambo ya ndani
Umeongea facts mkuuWizara ya Ulinzi sio kwamba ipo above law's za nchi ni basi sisi watanzania tumemeza mno moshi wa ile kitu inayozungukaga nchi nzima,matumizi ya wizara hii ni lazima sisi walipa kodi tujue ila woga wetu ambao tumeurithi generation to generation ndio tatizo,wizara ya Home Affairs ivunjwe na zitengenezwe wizara mbili,wizara ya police(usalama wa raia) na wizara ya mambo ya ndani(uraia &immigrations);idara ya zimamoto rudisha kwa serikali za mitaa na idara ya magereza weka chini ya Justice ministry.
Mbona polisi wanatuua sana tuULINZI jukumu lao la msingi wanadili na external criminals/enemies na treatment yao ni kuwaua as much as possible wakati Polisi focus yao ni internal criminals ambao treatment yao ni kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.
So, kuna utofauti mkubwa sioni wakichangamana.
Ironically wanafanya kinyume chake kabisa hao polisi. Wao ndio wamekuwa criminals kwa kudhuru raia.ULINZI jukumu lao la msingi wanadili na external criminals/enemies na treatment yao ni kuwaua as much as possible wakati Polisi focus yao ni internal criminals ambao treatment yao ni kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.
So, kuna utofauti mkubwa sioni wakichangamana.
Idea nzuri sana, ningekuwa ndio mshauri wa rais ningemshauri ivyoWizara ya Ulinzi sio kwamba ipo above law's za nchi ni basi sisi watanzania tumemeza mno moshi wa ile kitu inayozungukaga nchi nzima,matumizi ya wizara hii ni lazima sisi walipa kodi tujue ila woga wetu ambao tumeurithi generation to generation ndio tatizo,wizara ya Home Affairs ivunjwe na zitengenezwe wizara mbili,wizara ya police(usalama wa raia) na wizara ya mambo ya ndani(uraia &immigrations);idara ya zimamoto rudisha kwa serikali za mitaa na idara ya magereza weka chini ya Justice ministry.
Couldn't be more precise than this. Tatizo nchi hii waliokuwa na akili ndio hufanywa machizi.Wizara ya Ulinzi sio kwamba ipo above law's za nchi ni basi sisi watanzania tumemeza mno moshi wa ile kitu inayozungukaga nchi nzima,matumizi ya wizara hii ni lazima sisi walipa kodi tujue ila woga wetu ambao tumeurithi generation to generation ndio tatizo,wizara ya Home Affairs ivunjwe na zitengenezwe wizara mbili,wizara ya police(usalama wa raia) na wizara ya mambo ya ndani(uraia &immigrations);idara ya zimamoto rudisha kwa serikali za mitaa na idara ya magereza weka chini ya Justice ministry.
Hakuna sheria ya kimataifa inaruhusu kuua kama unavyojipbanua!! International criminal's sio kazi ya JeshiULINZI jukumu lao la msingi wanadili na external criminals/enemies na treatment yao ni kuwaua as much as possible wakati Polisi focus yao ni internal criminals ambao treatment yao ni kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.
So, kuna utofauti mkubwa sioni wakichangamana.
... mafunzo ya JWTZ upande wa shabaha ni kifua na sio pengine popote!Hakuna sheria ya kimataifa inaruhusu kuua kama unavyojipbanua!! International criminal's sio kazi ya Jeshi
Itawezekana wanaume wakianza kuwa wajawazitoKwa muda mrefu sana tumeona Wizara ya mambo ndani ikikumbwa na changamoto nyingi sana. Hasa kwa vyombo vya ulinzi vilivyoko wizarani hapa. Police, magereza, uhamiaji, na fire.
Binafsi nilikuwa naona ili kuweka mambo sawa vyombo hivi vipelekwe Wizara ya Ulinzi ili kuvipa nguvu na kuweka Nidhamu ya hali ya juu sana.
Hii itapelekea vyombo hivi kuwa na common command, kufanya kozi kwa pamoja na kushirikiana kwa pamoja kuimarisha Ulinzi na Usalama kwa Taifa letu.