Tulitazamia mabadiliko makubwa kabisa wa mfumo wa kiongozi na namna ya kuendesha Serikali katika awamu hii ya sita lakini mambo yameenda visivyo kabisa kwani kuna mabadiliko machache sana yaliyotokea hadi hivi sasa lakini karibu asilimia85% ya nchi yetu mfumo unaotumika ni mfumo wa serikali uliopita.
Hii inapelekea kuendeleza wimbi la ukandamizaji kwa wananchi wanyonge wa nchi hii sasa wa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo mzima wa uongozi na namna ya kuiendesha serikali.
Licha ya hotuba ya juzi tar22/Aprili bungeni tulio wengi tumeona hotuba ile kuwa na matumaini madogo sana katika kuleta mabadiliko kwani hotuba hiyo iliyokuwa ya dakika 92 na sekunde5 Masuala ya Demokrasia ambayo ina hali mbaya kwa sasa katika nchi yetu kwani ni wazi kwa aliyekuwa anaishi Tanzania chini ya mwamvuli wa Serikali iliyopita tumeshuhudia ukandamizaji wa Moja kwa moja na kuminywa kwa demokrasia ya nchi yetu.
Wengi tulitazamia mabadiliko makubwa katika nyanja hii lakini ni wazi sasa kwamba bado tuko Misri🇦🇹katika masuala ya uhuru wa raia na demokrasia ya nchi kwa ujumla🏁