Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Acha achukue kwani.wewe utaathirika na niniKwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni maubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.
Hofu yangu ni kuwa aidha kwa makusudi au bahati mbaya Dewji anaweza sitisha mpango wake huo na kudai kurejeshewa pesa zake! Je, SIMBA itakuwa na uwezo wa kurejesha? Vipi akiamua 'take-over' kama ya China kwa Zambia?
Mkuu yasiyokuhusu kwanini unakua na hofu nayo? Tulia pambana na hali yako. Kwanza yale mamichango yenu yamefikia wapi?Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni maubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.
Hofu yangu ni kuwa aidha kwa makusudi au bahati mbaya Dewji anaweza sitisha mpango wake huo na kudai kurejeshewa pesa zake! Je, SIMBA itakuwa na uwezo wa kurejesha? Vipi akiamua 'take-over' kama ya China kwa Zambia?
Wenye akili watashughulisha bongo yao kuhusu hii mada yako fikilishi, wale wa jina LA Mh. Aden Rage, mapovu kwa sana.Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni maubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.

Timu ishauzwa hîyo na msimu ujao mwenye timu analeta mastriker wa kihindi kutoka BombayMkuu yasiyokuhusu kwanini unakua na hofu nayo? Tulia pambana na hali yako. Kwanza yale mamichango yenu yamefikia wapi?
Tunachotaka ni matokeo.. Hata kama striker anatoka Somalia au Iraq na anatupia magoli mengi zaidi ya Kagere anakaribishwa.Timu ishauzwa hîyo na msimu ujao mwenye timu analeta mastriker wa kihindi kutoka Bombay
Mkuu yasiyokuhusu kwanini unakua na hofu nayo? Tulia pambana na hali yako. Kwanza yale mamichango yenu yamefikia wapi?
Nakazia tu ya simba hayamuhusu kabisaTambua kwamba tayari klabu ya Simba iliingia makubaliano na Mo Dewji ambapo wanachama wa Simba wanamiliki hisa ya 51% na Mo Dewji anamiliki 49% ya hisa za Simba. Kwa hiyo Simba acha nayo wewe Chura wa jangwani,
Mo ana hisa zake wala hakuna tatizo lolote that is an investment as other business!