Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Kwa muda sasa timu ya SIMBA ya Dar es salaam imekuwa ikitamba kuwa na pesa nyingi. Chanzo cha pesa hizi ni mkaubaliano yasiyo rasmi "gentleman agreement" baina ya timu na tajiri Mohamed Dewji ya kununua timu. Makubaliano haya yanaiwezesha SIMBA kuvuta 'advance' ili kuendeshea club.
Hofu yangu ni kuwa aidha kwa makusudi au bahati mbaya Dewji anaweza sitisha mpango wake huo na kudai kurejeshewa pesa zake! Je, SIMBA itakuwa na uwezo wa kurejesha? Vipi akiamua 'take-over' kama ya China kwa Zambia?